Wanawake wa siku hizi hawaaminiki - cheki hii stori

Sasa umemfumania mara 5 na bado unaendelea nae kwa nini au anakupa tiGo?
 


"trust everybody, BUT dont trust trust the devil inside them".... usiwahukumu wanawake wote kwa makosa anayofanya huyo wa kwako.... jifunze kusoma alama za nyakati.... mapenzi ni asili lakini kuna vitu vingi tunapaswa kujifunza kabla na tunapoingia katika dimbwi hilo... "LOVE COMES TO THOSE WHO BELIEVES"
 
unapoteza muda wako mkuu, hawa watoto wa chuo noma..utaumiza kichwa bure
 
Pole kaka huyo achana naye, kuwa jasiri anakudanganya ana uhusiano wa ndani na huyo jamaa.
 
Dah! Pole sana ndugu yangu kwa yaliyo kusibu..Ila dunia hii kwa kweli si wanawake wala wanaume asilimia kubwa wamekosa uaminifu! Kwa kweli kwa hayo maelezo uliyo yatoa hapo juu huyo dada hakufai kabisa..Unaweza ukamvumilia kwa kipindi hiki lakini huyo dada baadae atakuja kukuletea maumivu ya moyo na maradhi juu mpaka uchanganyikiwe.. Muache aende zake hakufai hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…