Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #141
Asilan Abadan mkuu! siku zote natumia zana.unapiga kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilan Abadan mkuu! siku zote natumia zana.unapiga kavu
Bado kijana sana, I have a lot to accomplish first.. Unless if you want to help me through!Haahaaa
Eti mahubiri!.
Amina kutubu ndo mhimu,na uache tulia na 1,oa!
Kwema ndugu!
zile mashine zinauzwa zenye umbo la uume .. wanawake wanavitumia kujifanyia mambo kwa sasa ni mbadala wa wanaume .. zipo za kila size na kila rangi
Yaani kila anakokwenda ni lazima atongoze??Wao wepesi, wewe mzinzi.
Unapewa kirahisi kwa sababu ukimwi hauna gharama, ukiwa na tamaa tu umeupata. Ukianza kukohoa ulete mrejesho mkuu tukupe R.I.P
Mkuu pokea like hizo[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji107] [emoji107] [emoji106] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]kwa takwimu zilizothibitishwa,watu wa namna hii kupata ukimwi ni nadra saaaaaaana...
Ama kweli nyani haoni kundule
mbona na wewe umepatikana kirahisi ?
Habarini za siku nyingi wana jamvi,
Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.
Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio wote.
Tazama scenario hizi...
Juzi nilikua mgahawa mmoja jijini nikamuona binti mkali pembeni yangu nikaomba nimjoin akakubali, kuna time akapigiwa simu na mama yake bahati mbaya simu ikakatika, akaniomba atoke pembeni akanunue vocha ili ampigie, nikamwambia hakuna haja na palepale nikamtumia 10,000 tigopesa akajiunga ndio ukawa mwanzo wa kufahamiana, kesho yake nikapiga.
Siku nyingine nipo kwenye bank, ilipofika zamu yangu nikamchekesha kidogo yule teller, baada ya kunihudumia nikampa tip na bussines card, baada ya siku 2 nikampitia.
Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, baada ya dk hizo kupita tukaanza story, tulipofika kobil pale hotelini Chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika Kimara Temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, baada ya kumchombeza kidogo akanielewa, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi.
Hii ni mifano michache tu kati ya mingi sana. Ingawa msitusumbue sana pia coz inaboa[emoji1]
Hajataja sehemu wanafanyia kazi mashirika ya ndege yapo zaidi ya moja,ofisi za umma zipo zaidi ya moja.haya kataja wapi???bank teller kuna bank zaidi 20 tz.elimu elimu elimu
HahahaHabarini za siku nyingi wana jamvi,
Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.
Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio wote.
Tazama scenario hizi...
Juzi nilikua mgahawa mmoja jijini nikamuona binti mkali pembeni yangu nikaomba nimjoin akakubali, kuna time akapigiwa simu na mama yake bahati mbaya simu ikakatika, akaniomba atoke pembeni akanunue vocha ili ampigie, nikamwambia hakuna haja na palepale nikamtumia 10,000 tigopesa akajiunga ndio ukawa mwanzo wa kufahamiana, kesho yake nikapiga.
Siku nyingine nipo kwenye que bank, ilipofika zamu yangu nikamchekesha kidogo yule teller, baada ya kunihudumia nikampa tip na bussines card, baada ya siku 2 nikampitia.
Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, baada ya dk hizo kupita tukaanza story, tulipofika kobil pale hotelini Chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika Kimara Temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, baada ya kumchombeza kidogo akanielewa, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi.
Hii ni mifano michache tu kati ya mingi sana. Ingawa msitusumbue sana pia coz inaboa[emoji1]
Usingetaja kampuni zao wanazofanya kazi
kuna wafanyakazi wenzao humu
au hata ndugu zao wanaweza ku connect dots
ukipewa sema ahsante...kama hutaki usiombe....