"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

sasa mjini hapa wakalime lami? Mashamba hakuna nyumba ya kupanga sinza cjui manzese. Hebu waacheni wajawazito wa watu

Kazi sio kulima tu mkuu!
Kauli yako inafanana sana na ya yule aliyesema: "Tatizo la umeme linatokana na ukame, na serikali haina uwezo wa kutengeneza mvua".
 
Kwanza oa..; mpe mimba mke wako halafu fanya hiyo experiment yako..hasa wakati anajifungua inabidi uwe hospital.uone wakati mkeo anapigana na maisha yake....JF bado ipo..baadaye lete majibu hapa....

Kumbuka maisha ya ndoa ..siyo "Big Brother reality show" na kumbuka kuzaa sio filamu ya kanumba.. ni Real life.. ni kitu cha kufa na kupona..

Jiulize swali hili.. utapenda mke wako ajifungue kwa kawaida?.kama hapana.. utapenda mke wako apate operation? na kama ni Yes...utapenda operation unajua wakati anafanyiwa hiyo operation kuna uwezekano anaweza kuongezwa damu?.. na kutokana na magonjwa ya sasa damu hiyo inaweza kuwa sio salama? Uko tayali kuchukua risk hiyo? au utakubali operation kama tu imeshindikana kawaida na kuokoa maisha ya mama?

Kaa chini na jibu hayo maswali..hapo juu .. basi utapata jibu la swali lako..

Mgongano wa mawazo!
 
Khabari ya Jumapili kwa mpigo,
Kuna gynecologist mmoja maarufu sana hapa nchini anasema kati ya wanawake 20 wenye umri kati ya miaka 16 – 35 wanaopelekwa kujifungua, 15 hujifungua kwa njia ya caesarean section.

Bingwa huyo amedai kuwa hiyo inatokana na wanawake wengi wa siku hizi kuwa "wanadeka sana" hasa wakiwa wajawazito.

Akiwafananisha na wale waliozalizaliwa hasa nyuma ya miaka ya 70, amesema hawa wa siku hizi ni "wavivu" wanapokuwa wajawazito, hawapendi kujishughulisha.

"Utamkuta mdada mjamzito eti kwa kuwa ana msaidizi/wasaidizi basi nyumbani hashiki kitu, yeye ni kulala tu….wenzao wa zamani walikuwa wanajishughulisha bwana, yaani huwezi kumjua kama mjamzito kwa kazi anazozifanya…mara ataenda shamba, atabeba kuni, akirudi atachota maji, atafua, atapika…ili mradi yupo bize….hata delivery kwao ilikuwa rahisi sana…tena wengi wao waliweza kujifungulia nyumbani, wengine bila hata msaidizi. Hawa wa sasa thubuuutu" alisema bingwa huyo.

Wadau hii ni kweli..?

Sio kwa sababu ya mtandao huu?

195766_203525053017188_2367840_n.jpg
 
Nakubaliana kabisa na mkeshaji kuwa wadada siku hizi tuna uvivu. Ndio maana kasi ya caesarean imekuwa kubwa tena wengine wana uwezo kabisa wa kudeliver normal lakini hawataki. Ila kingine pia najaribu kufanya utafiti lakini kwa wale wenzetu wanaotumia njia ile ambayo si halali ufanya tendo la ndoa hawawezi kudeliver normal. nadhani mkeshaji tusaidiane na hili.
 
He! we Laura! Tusaidiane vipi tena hapo jamani.
 
Yaani nimecheka hadi my baby in my stomach ameruka kwa furaha. Sina uhakika sana na hicho mnachokisema maana hapa nilipo nipo kazini napiga kazi kwa kwenda mbele, na ukiona siji ofisini ujue am about to give birth. Hata hivyo kwani kudeka mnakokuzungumzia ni kupi? naona mnachanya mada hapa, kuna kudeka na uvivu hivyo ni vitu viwili tofauti, kudeka kwa nani nayo ni issue nyingine, kama mwanamke ana deka kwa mume wake hilo ni tatizo jamani! ebu tuwe wakweli, kudeka ni sehemu ya mapenzi au nyie hamjui?, yes it is
 
Kuna aina ya kudeka bana Aine sio ushindwe kufua vikufuli vyako vikatakata then umpe kazi hiyo kazi hiyo housegirl then utuambie eti unadeka!
 
Kuna aina ya kudeka bana Aine sio ushindwe kufua vikufuli vyako vikatakata then umpe kazi hiyo kazi hiyo housegirl then utuambie eti unadeka!
Kudeka si kumpa house girl kazi asiyostahili, unadeka mkiwa na mume wako tena chumbani na si sebuleni mbele ya watoto, kushindwa kufanya kazi kwa mwanamke mjamzito ni uvivu na hulka ya mtu binafsi hata asipokuwa mjamzito labda ashindwe kufanya kazi kutokana na complications mbalimbali, mfano anaweza kuwa recommended na daktari asifanye kazi lakini ktk hali ya kawaida kuna baadhi ya kazi anazifanya kama kawaida tu
 
na wanaona kudeka ni haki yao bila kupima effect zake. tena ni wagumu kupokea ushauri, matokeo yake operation. eti kwenda na wakati. kudeka km wahindi veve lisha mimi!
 
Khabari ya Jumapili kwa mpigo,
Kuna gynecologist mmoja maarufu sana hapa nchini anasema kati ya wanawake 20 wenye umri kati ya miaka 16 – 35 wanaopelekwa kujifungua, 15 hujifungua kwa njia ya caesarean section.

Bingwa huyo amedai kuwa hiyo inatokana na wanawake wengi wa siku hizi kuwa “wanadeka sana” hasa wakiwa wajawazito.

Akiwafananisha na wale waliozalizaliwa hasa nyuma ya miaka ya 70, amesema hawa wa siku hizi ni “wavivu” wanapokuwa wajawazito, hawapendi kujishughulisha.

“Utamkuta mdada mjamzito eti kwa kuwa ana msaidizi/wasaidizi basi nyumbani hashiki kitu, yeye ni kulala tu….wenzao wa zamani walikuwa wanajishughulisha bwana, yaani huwezi kumjua kama mjamzito kwa kazi anazozifanya…mara ataenda shamba, atabeba kuni, akirudi atachota maji, atafua, atapika…ili mradi yupo bize….hata delivery kwao ilikuwa rahisi sana…tena wengi wao waliweza kujifungulia nyumbani, wengine bila hata msaidizi. Hawa wa sasa thubuuutu” alisema bingwa huyo.

Wadau hii ni kweli..?

Mimi sikubalini na huyo Gynacologist kuwa sababu ya Caesarean sections nyingi siku hizi ni 'kudeka' kwa wanawake! Kwa kiasi kikubwa naamini haya ni matokeo ya maendeleo katika 'emergency obstetric and newborn care (EmONC)' katika kupunguza vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga. Hospitali na vituo vingi vya afya vimewezeshwa kuweza kufanya Caesarean section kwa wamama ambao progress yao ya labor si nzuri au wale wenye viashirio vya kushindwa kujifungua kawaida.

Miaka ya nyuma, hata miaka ya mwanzoni mwa 2000s huduma ya dharura kwa mama wajawazito ilikuwa mbaya na haipatikani, lakini sio kwamba kulikuwa na akina mama wasiohitaji upasuaji! Wengi wa waliohitaji hawakupata wakashia kufa na walisurvive wengi kupata matatizo mbali mbali including fistula. sasa hivi hali ni afadhali, na wengi wao wanapata huduma hiyo...hivyo kwa sababu wanaopata ni wengi inaonekana 'mideko'...sikubali!
 
Kudeka si kumpa house girl kazi asiyostahili, unadeka mkiwa na mume wako tena chumbani na si sebuleni mbele ya watoto, kushindwa kufanya kazi kwa mwanamke mjamzito ni uvivu na hulka ya mtu binafsi hata asipokuwa mjamzito labda ashindwe kufanya kazi kutokana na complications mbalimbali, mfano anaweza kuwa recommended na daktari asifanye kazi lakini ktk hali ya kawaida kuna baadhi ya kazi anazifanya kama kawaida tu

hapo nimekuele then hata huko chumbani hutakiwi kudeka mpaka iwe kero! Mana ktk game unaweza ukaambiwa kaa hv unaana ooh naumia,mara ooh sijisikii.
Mjue mikiki mikiki ya game ni mazoezi tosha hadi mtoto anachamka tumboni.
 
Mwaka kesho nitadeka saaaaaaana yani hadi kuogeshwa
 
Wanaodeka ni wanawake wanaoishi mijini. Huko kijijini, we acha tu mambo Mama anjifungua akiwa anachunga ng'ombe, baada ya hapo anabeba mtoto na kuswaga ng'ombe kuwarudisha nyumbani. Enyi Wamama wa Bongo, A'town, Rock city n.k endelea kudeka tu lakini mkifahamu kuwa hali ni tofauti kwa wenzenu walioko vijijini.
 
Kuna jirani yangu mkewe ka-deliver jana kwa ceaserean section.
 
Back
Top Bottom