Kwahio unaondoka na mishahawa ikikuchuruzika mapajani. Doh we kiboko!!Iam speechless
Nibebe khanga kuja kumpa bwana ajifutie mishahawa yake halafu niondoke Nayo nkaifue
Hajanioa,sijaolewa nae hatujaoana
Kizazi cha zinaa,kinipitie mbali
Ndo hivoUkiona mwanamke habebi khanga tafuta njia m'badala.
Mkikutaga khanga zimetundikwa gheto si huwa mnalalamika kuwa tuna wanawake wengineCyo lazima mwanamke ubebe bhna....hata wanaume beben
Kambi popote, lakini hata huko lodge baadhi ya mataulo hayaaminiki hivyo ni bora kuwa khanga angalauKwani mnabanduana porini kiasi kwamba mkimaliza hata hamuogi, oeni acheni uzinzi
Kama yeye hajabeba, beba wewe taulo uende nalo lodge🤣🤣Kambi popote, lakini hata huko lodge baadhi ya mataulo hayaaminiki hivyo ni bora kuwa khanga angalau
Tunaiomba hiyo mbadala mkuuUkiona mwanamke habebi khanga tafuta njia m'badala.
Mwanamme kugonga inje ni suuuna! Ni hulka ya viumbe dume vyote!Kama yeye hajabeba, beba wewe taulo uende nalo lodge🤣🤣
Cha muhimu tafuta hoteli au lodge ambazo ni standard na zinaaaminika utakuta mataulo masafi na maji ya kuaminika
Suluhiso la kudumu ni kuoa, unabandua ndani mwako huna haja ya kukimbizana lodge
Mtihan umevuja bado hatujamalizaForm Four mmemaliza NECTA?
Hizi akili za UVCCM, kwamba kuishi bila kulamba nyayo za flani hakuna maisha, kwa uzinzi wako na kushindwa kutiisha -tamaa zako za mwili unafikiri kila mwanaume yupo hivyo?Mwanamme kugonga inje ni suuuna! Ni hulka ya viumbe dume vyote!
Ndivyo tulivyoumbwa! Ukikuta mwanamme hachepuki lazima atakuwa na shida mahala Siyo kawaida