Hivi wanawake wa kitanga ndio wenye lile tego, ukienda kwa wanawake wengine jogoo hapandi mtungi?
Mi ndo maana nimejikita maeneo ya Chuda raha nazo pata we acha tu.
Nikifika tu ananibeba toka mlangoni mpaka chumbani kisha ananivua nguo na kuniandalia maji ya kuoga yaliyowekwa viungo. Tanga jamani raha asikwambie mtu unaweza hamia kabisa.
Mwenzio nilikoma kusepa nao baada ya kupewa adhabu ya kwanini ninashusha haraka, alisubiri wazungu wakiwa mlango wa exit basi akawapiga stop kwa mkono, weeeeeeee nililia kama mtoto mdogo kang'atwa na manyigu, sirudi tena Chumbageni
zafanana.......??????????
Umenikumbusha mabasi ya tanga
kuna zafanana, raha leo, tawfiq....kikulacho lol
Asante. Safi....maana wengine sie ni kina 'tomaso'!Yes ipo tanga karibu sana
naona baadhi ya mashori wa jf wanawivu sasa .. tanga raha wajameni wanawake wanajua kutunza waume, hao wachache walioachika ni moja kati ya elfu moja ..
nipo makorora hapa nadekezwa...
Nawaponda??Nitajipondaje mwenyewe?
kwa hiyo wanawake wa Tanga ni wauzaji?
Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".
Mkuu DC, umemaliza. Na wala siyo enzi hizo tu, hata sasa hakuna ukweli wa hizi 'kampeni' zisizoisha juu ya wanawake na mapishi ya Tanga. Hakuna lolote la ajabu, si wanawake wala misosi kama watu wanavyopenda kupotosha.Haya mambo hayana ukweli wowote,
Uzoefu wangu wa kuishi Tanga enzi zile na safari zangu za mara kwa mara zimenifanya niamini kuwa si kweli.....
Anayebisha ana lake!