Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Hivi wanawake wa kitanga ndio wenye lile tego, ukienda kwa wanawake wengine jogoo hapandi mtungi?

Mkuu hii ni simulizi ya miaka mingi inasemekana mambo haya yapo zigua {HANDENI}..ukijipendekeza anga za watu umeumia!!
 
Mi ndo maana nimejikita maeneo ya Chuda raha nazo pata we acha tu.
Nikifika tu ananibeba toka mlangoni mpaka chumbani kisha ananivua nguo na kuniandalia maji ya kuoga yaliyowekwa viungo. Tanga jamani raha asikwambie mtu unaweza hamia kabisa.

mh sasa hii ni balaaa jamani
 
Mwenzio nilikoma kusepa nao baada ya kupewa adhabu ya kwanini ninashusha haraka, alisubiri wazungu wakiwa mlango wa exit basi akawapiga stop kwa mkono, weeeeeeee nililia kama mtoto mdogo kang'atwa na manyigu, sirudi tena Chumbageni

hihihiiiiiihiihhllhiihohohohohohhhhhiiiihiii hhaaa hii ni kali asee sasa alikua anajuaje kua wazungu wako karibu...? au ndo uchawi wenyewe huo...!
 
Hivi lushoto nayo 'ipo tanga'?.....nina semina ya wiki moja inaanza tarehe 21 mwezi huu!
 
naona baadhi ya mashori wa jf wanawivu sasa .. tanga raha wajameni wanawake wanajua kutunza waume, hao wachache walioachika ni moja kati ya elfu moja ..

nipo makorora hapa nadekezwa...
 
 
Last edited by a moderator:
naona baadhi ya mashori wa jf wanawivu sasa .. tanga raha wajameni wanawake wanajua kutunza waume, hao wachache walioachika ni moja kati ya elfu moja ..

nipo makorora hapa nadekezwa...

endelea kula raha kamanda. achana na hao wanawake wasiojua hata kukuna nazi wala kuvaa shanga!
 
Jf kwa Magwiji wa mapenzi bwn? Daaaaa! Kuna mtu atataka tu kuchovya demu wa kila kabila nchi hii na ataanalyse vilivyo. Baada ya hapo atawafuata na wale wafupi aka Emolo wa DRC. But kupenda varieties ndo inaharibu maisha na kuvuruga maisha ya familia. HIV is there meeen!
 
Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".

Ila Tausi ule unywago wa Wamanyema ni first class!!! FM Academia wanasema USIPIME!!!
 
Haya mambo hayana ukweli wowote,

Uzoefu wangu wa kuishi Tanga enzi zile na safari zangu za mara kwa mara zimenifanya niamini kuwa si kweli.....

Anayebisha ana lake!
Mkuu DC, umemaliza. Na wala siyo enzi hizo tu, hata sasa hakuna ukweli wa hizi 'kampeni' zisizoisha juu ya wanawake na mapishi ya Tanga. Hakuna lolote la ajabu, si wanawake wala misosi kama watu wanavyopenda kupotosha.
 
Back
Top Bottom