Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

eti wanaweka mananii kwenye kisosi kama si utaahira huu ni nini?
 
Nimefanya kazi tanga miaka 3 nimerudi home dar na laki moja tanga noma nazi saba mchele kilo moja
 


Jamani, wanawake wa almost kila kabila wameongelewa humu: wanyakyusa, wachaga, wahaya, wapare e.t.c sasa ni zamu ya Tanga line, waacha wamwage sifa za Tanga.....

The next issue: wanawake wa.....
 
Nimefanya kazi tanga miaka 3 nimerudi home dar na laki moja tanga noma nazi saba mchele kilo moja

Mie niliishi zaidi ya miaka 10....Niliondoka na familia yangu (Mke na watoto) na investment kibao ambazo zimenifanya niendelee kudunda hadi leo??

Wewe ulikuwa Tanga ipi??? Au mimi ndiye sikuwa Tanga yenyewe??

Babu DC!
 

umenichekesha sana sana, Yaani mbavu sina. Kweli TANGA RAHA
 
Hakuna ukweli wa zaidi ya uliosema.ndio hawa unamuachia 500 anakupa chakula cha 5000, mjinga unachekelea.

Bora uwaambie mana tukiwaambia watasema tunawatibulia!
On a positve note, gullible men kama mleta mada hufanya maisha rahisi sana
na hujichoresha mbaya lol.
 
zafanana.......??????????

umenikumbusha mabasi ya tanga
kuna zafanana, raha leo, tawfiq....kikulacho lol

Unajua zafanana ilitokana na nini?
Tajiri wa mabasi hayo alioa mke akakaa nae mda mrefu na kuzaa watoto, alipopata mwengine mtamu zaidi akamwacha, mkewe akaoa mwengine akidhani ni mtamu zaidi, aliendelea hdi akafikisha saba sijui.
Mwisho wa siku akawaacha woote akamrudia mkewe wa kwanza na akadiriki kusema mbona zinafanana tu, hazina tofauti, tena bora ya mke wangu wa awali.
Ndo akatoka na jina ZAFANANA akayaita mabasi yake hivyo.
ZAFANANA
 
Umepatia kabisa.Wale wa Tanga mnaopanda "ZAFANANA" mmenipata
 

aisee hii kitu unasound kikasita kasita, nahisi harufu ya deze hapa. kweli au si kweli?
 

aisee hii kitu unasound kikasita kasita, nahisi harufu ya Deze hapa. kweli au si kweli?
 
Kweli wanawake wa Tanga nawakubali sana. Siyo kama Warangi wamekeketwa mpaka ndani! Ile kitu yao imekatwa utadhani mtu anang'oa kisiki!
Mwanamke wa Kirangi mpaka afike kileleni kunahitaji kazi kweli kweli, ni kama gari la dizeli ambalo halina betri!

hahaaaaaaaaaaaaaa! Mungi, we ni nomaaaaaaaaaa! huo mfano wako hapa mbavu sina, mweeeeeeeeeee!
 
mimi nilipata kitu flani mitaa ya Amboni nikawa nachelewa job kila siku, nawahi kutoka kwaajili yake. Wanajua mahaba aisee
 
Hahahaha hamia kule Makokorora basi mzazi.

Angalia taarifa hii ktk kuadhimisha sikukuu ya Ukimwi duniani


TANGA

Kiwango cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Jiji la Tanga kimeongezeka kwa asilimia 8.7 zaidi ya kile cha kitaifa cha asilimia 5.7, kiwango kinachozidi kile cha mkoa ambacho ni 4.8%

Akihutubia katika kilele cha Siku ya UKIMWI, Duniani na ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kwa Mkoa wa Tanga, Mkuu wa Mkoa, Chiku Gallawa, alisema takwimu hizo ni zile za watu waliojitokeza kupima afya mwaka jana.

Gallawa alisema hali bado inatisha hasa kwa kuzingatia kuwa UKIMWI umekuwa ukiathiri zaidi kundi kubwa la vijana ambao ndio nguvu kazi inayotegemewa katika kukuza uchumi wa taifa. Alisema iwapo jamii haitakubali kubadili tabia zinazochochea maambukizi ya VVU na UKIMWI ni wazi kuwa idadi kubwa ya watu itaendelea kuathirika, “Serikali kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya kimataifa imeendelea na jitihada za kupambana na janga hili lakini jamii ambayo ndio mhusika mkubwa inapaswa kutambua juhudi hizi na kuziunga mkono kwa vitendo ili hatimaye tufikie malengo yaliyokusudiwa kwamba Tanzania bila Ukimwi inawezekana,” alisisitiza Gallawa.

Mratibu wa UKIMWI wa Halmashauri hiyo, Moses Kisibo, alisema tafiti za kisayansi bado zinathibitisha kuwa maambukizi ya VVU na UKIMWI kwa kiwango kikubwa hutokana na ngono zembe.

Kisibo alisema
miongoni mwa sababu zinazochangia kuendelea kwa kasi ya maambukizi ya VVU ni kuendeleza mila na desturi zinazopotosha maadili ya kijamii na kutozingatiwa elimu ya makuzi ya vijana
. (
Nipashe
)

Hakika Tanga hakufai,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…