punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Mkuu hata ungeishi kabisa tanga hakuna ukweli wa haya wanayokazania humu. Kama wanabisha waje wajibu haya maswali yako! Niko tanga miaka kibao... Hawawezi kunidanganya, kuna maswali kama haya yako nimewauliza huko juu lkn nina hakika hakuna mtu atakayeyajibu, au labda wanashauriana waje na uongo upi!!Mi naendaga tanga mara kwa mara lakini sijawahi kukutana na haya manyoyazungumza humu, au kwa kuwa huwa nakuwa kikazi zaidi? Kuna maeneo maalum ambapo hizi huduma hupatikana?