Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Mi naendaga tanga mara kwa mara lakini sijawahi kukutana na haya manyoyazungumza humu, au kwa kuwa huwa nakuwa kikazi zaidi? Kuna maeneo maalum ambapo hizi huduma hupatikana?
Mkuu hata ungeishi kabisa tanga hakuna ukweli wa haya wanayokazania humu. Kama wanabisha waje wajibu haya maswali yako! Niko tanga miaka kibao... Hawawezi kunidanganya, kuna maswali kama haya yako nimewauliza huko juu lkn nina hakika hakuna mtu atakayeyajibu, au labda wanashauriana waje na uongo upi!!
 
Cjui n ulimbuken au illiteracy au ushamba au kutotembea,me i dont knw wangu.Hv ww upo Mars au Pluto.Unachosema wewe kuhusu mabinti wa kitanga ckatai sana ila upo very general,so,its general rule ambapo kuna exceptional. kumbuka dunia imechange huwez kujudge watanzania kw kumchukua rais wake wakti nchi inamakabila zaidi ya 100,rudi shule kasome HISTORY na CIVICS na ufaulu ndpo utajua upo wapi
 
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.

Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako. Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.

Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.

Tanga kuna raha bwana!

Wanaongoza kuzalia nyumbani, wanaongoza kwa kutokuwa na ndoa, wanaongoza kwa kutojiamini. Wamekariri kwamba mwanaume ni mapenzi ya kitandani vingine vyote wako ziro. Hiyo hela ya kununua spacio unayo? Siku hizi tuko juu, magari tunanunua wenyewe, sijui wewe ni wa wapi bado una tabia ya kuhononga? Wale ukinunua khanga tu ya pair kumi unafanyiwa mazingombwe. Mwanamke gani wa kibongo umhonge khanga?

Acha kutuzingua, una mpenzi kutoka Tanga? Kama una ndoa mkeo ni wa Tanga? Kama wanaume wote wangekuwa na akili kama zako wanawake wa mikoa mingine tungeishia najumbani mwetu. Ukipenda kitu penda wewe kama wewe usiusemee moyo.
 
Hata mimi namshangaa; watu tumeshawachanganya vijana mpaka wametangaza nia siku nyingi na tunaendelea kushika usukani afu mtu anakuja na story za ujima. Lol. Tanga Tanga, Tanga. Naona soko la dada zao limekuwa gumu inabidi wa advertise kwa kutumia brain washing.
:juggle:
Wanaongoza kuzalia nyumbani, wanaongoza kwa kutokuwa na ndoa, wanaongoza kwa kutojiamini. Wamekariri kwamba mwanaume ni mapenzi ya kitandani vingine vyote wako ziro. Hiyo hela ya kununua spacio unayo? Siku hizi tuko juu, magari tunanunua wenyewe, sijui wewe ni wa wapi bado una tabia ya kuhononga? Wale ukinunua khanga tu ya pair kumi unafanyiwa mazingombwe. Mwanamke gani wa kibongo umhonge khanga?

Acha kutuzingua, una mpenzi kutoka Tanga? Kama una ndoa mkeo ni wa Tanga? Kama wanaume wote wangekuwa na akili kama zako wanawake wa mikoa mingine tungeishia najumbani mwetu. Ukipenda kitu penda wewe kama wewe usiusemee moyo.
 
Habarini za jioni mabibi na mabwana( Good evening Ladies & Gentlemens )
Ningependa kujuzwa kuhusu tabia/sifa(character) za wanawake wa Kidigo.Kwa wale waropokaji na wakosoaji wanaojifanya wanajua kila kitu ningependa kuwataarifu ya kwamba nimeweka uzi huu kwa sababu sifahamu lolote kuhusu mabinti wa kidigo,nimejitahidi kusoma historia ya hilo kabila lakini sijaambulia chochote.Karibuni mnijuze ukijisikia kuweka pumba pia zinaruhusiwa na kejeli vile vile zinaruhusiwa.Ila kama wewe ni mwanamume/mwanamke uliyekamilika na msomi kama wengi wenu mnavyodai humu ndani nategemea majibu mazuri sana.
 
kwa nnavyo wajua mimi wadigo wana tabia hizi
1. wanajua mapishi
2. wanajua mapenzi
3. wanapenda kujipamba, hususani kutoboa pua, kuchora hina, wanja na kujifukiza uturi
4. wanaongea sana, yani wana maneno mchanganyiko na matusi humohumo
5. kwenye swala la usafi hapo ni 50/50 yani kuna ambao ni wasafi, na wengine sio sana
6. asilimia zaidi ya 90 ni waislam,na mavazi yao huwa ni baibui na kanga pamoja na madira
7. n.k
 
mkuu umenikumbusha mwanamisi mtoto wakidigo. wengi wao ni wazuri wa shape na sura ila wanapenda sana mambo ya chini. kama huna uwezo wa kupiga game mara 7 kwa siku umekwisha!!! kwa kuongezea tu wengi wao hawana akili za kimaendeleo katika maisha( maendeleo yao ni papuchi tu). kwao ni bora atumie kiasi chochote cha pesa kukarabati papuchi kuliko kuanzisha biashara halali. mkuu kama unataka kuoa mdigo sikushauri utakufa masikini.
 
kwa nnavyo wajua mimi wadigo wana tabia hizi
1. wanajua mapishi
2. wanajua mapenzi
3. wanapenda kujipamba, hususani kutoboa pua, kuchora hina, wanja na kujifukiza uturi
4. wanaongea sana, yani wana maneno mchanganyiko na matusi humohumo
5. kwenye swala la usafi hapo ni 50/50 yani kuna ambao ni wasafi, na wengine sio sana
6. asilimia zaidi ya 90 ni waislam,na mavazi yao huwa ni baibui na kanga pamoja na madira
7. n.k

7. Wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji.
8. Wepesi sana kuchepuka.
9. Madawa kienyeji nyumbani kama pharmacy.
9.
 
Kama shida yako ni mapenzi basi hapo ndio home,hautachoka na hutapata kila aina ya mahaba unayoyafahamu na usiyoyafahamu ukiwa nae hata michepuko huta kumbuka tena,
 
Back
Top Bottom