Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Lakini nasikia wanawake wa Tanga wamekalia kuwahudumia wanaume tu, kwenye masuala ya kushirikiana kutafuta uchumi hawawezi kama mme ni mkulima usubiri kuletewa msosi mzuri tu shambani na kupetiwa petiwa usiku na si mke kukusaidia kushika mpini alime ng'oo! Cjui wanatanga hili ni la kweli?
 
Hayo unayoongelea ni ya zamani sasa hivi watu wanasoma wameelimika,na hata biashara Tanga kumekucha siku hizi.
Lakini nasikia wanawake wa Tanga wamekalia kuwahudumia wanaume tu, kwenye masuala ya kushirikiana kutafuta uchumi hawawezi kama mme ni mkulima usubiri kuletewa msosi mzuri tu shambani na kupetiwa petiwa usiku na si mke kukusaidia kushika mpini alime ng'oo! Cjui wanatanga hili ni la kweli?
 
Dada nashukuru nimeuona salama, nilikuwa likizo kijijini ndiyo nimerudi bongo tar. 3 juzi tu hata kazi bado sijaanza.
Wewe je?
me nashukuru mungu niko mzima kabisa na kaz naendelea nazo kama kawa
 
That is how a woman should be lol...sio kulimishana sijui kutafuta pesa,hela can never be enough my friend....ni wanawake wachache wanaoweza kubalance everything,kutafuta pesa/kazi,kulea watoto,na kulea mwanaume....ukiwaondolea jukumu la kutafuta pesa,wanabaki na kulea watoto na mume lol of course hutakuwa huna sababu km hutafanya kwa moyo wote-of course hii ni excuse yangu ya kuwa GOGO kitandani,hahahaaa ila tukubali lifestyle inachangia sana maisha yamekuwa hectic na yame affect mahusiano mengi ya kindoa...
 
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.

Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako.

Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.

Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.

Tanga kuna raha bwana!

Endelea kuhonga na kuhonga na kuhonga. Usiache kabisa kuhonga huko Tanga. Mpaka uwamalize woooote
 
Back
Top Bottom