Wanawake wa Tanzania kuonyeshwa kupendwa na kupendelewa na 'Mwanamke Mamlaka' mwenzao ni kuwalemaza akili na si kuwajenga

Kawajaza eti wao ni "tea bag",waje wakoleze rangi manyumbani. Haki ya Mungu navunja mtoto wa mwanaume mwenzangu meno. Yaani kwa mara ya kwanza Ambulance itaanzia safari kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New World Order mkuu!
 


Kama wewe sio mwanamke tunyamaze kuongelea mambo ya wanawake kudekezwa! wengi wetu tunakumbuka baba zetu kutoka kazini kwenda kwenye vigenge vya baa mpaka usiku bila kujua chochote nyumbani wakati mama naye ana kazi, kufanya usafi, kufuatilia watoto, kupika.... . Ni ngumu sana kutetea ule uzembe wa zamani wa wazee wetu. Mama anafanya vizuri kuwaaminisha wanawake maana wanaume pekee hatutaweza kuleta maendeleo kama ingekuwa hivyo nchi yetu ingekuwa mbali kuliko ilipo sasa
 
Bi mkubwa anataka kutupeleka kwenye 50/50 huu ni UTOPOLO Mkuu, hata vitabu vya dini halipo hilo, kazi zao na majukumu yao yanajulikana hata kibibilia na Qur'an.
 
Umenena mkuu! Ila hapa sasa namm ndipo nasimamia ole wake asinijaze mimba namm. Maan ndio mojawapo ya majukumu ya usawa!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…