Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Naomba wadada mje hapa; iteni wenzenu tuongelee suala la "vigodoro"
Kwanini tunanyanyapaana kuhusu shapewear jamani? Eti mtu anasema "ridhika na Mungu alichokupa". Kweli?
Nywele za bandia weka, hakuna atakayekusema(labda figganigga )
Kucha za bandia weka, hakuna atakayekusakama ingawa hukuzaliwa nazo
Kope za bandia weka, hakuna atakayesema lolote
Ila nunua ki "buttlifter" chako watu hao wanaanza kukusimanga ooh anajiongezea sio lake. Ndio sio langu jamani lakini ndo napenda liwe hivi, nisubiri nife nirudi tena?
Halafu bongo wadada tunavaa sana, tunajua kudamshi ila tunaangushwa sana sana na nguo za ndani(hili somo la siku nyingine) na kutojua umuhimu wa shapewear.
Mtu anavaa nguo ya designer huko lakini sasa anashindwa hata kuvaa na chupi zenye kubana tumbo apendeze sababu ya unyanyapaa anapambana na majaliwa yake.
Mimi naona tuwe open minded kuhusu haya mambo. Ni katika kuenhance tu uzuri jamani. As long as haifanyi permanent damage basi haina shida. Vaa hiyo nguo unayotamani kuvaa maisha ndo haya haya. Kama tumbo linaning'inia libane. Kama huna tako la kuvaa nguva weka kasponji kako mwanawane na vihipsi kidogo, kama nyonyo is sleeping boost mwanawane vaa kablauzi hako.
Na wanaume acheni hizi habari za "tukifika chumbani nikakuta hakuna tako je?" Wewe kila siku unaokota tu wanawake unapeleka chumbani kwako hata hujawasoma mkajuana vizuri? Kama ndio subiri yakukute ya Kimara ya kudungwa na vidume 6.
Nimemaliza.