Wanawake wa Tanzania na Unyanyapaa wa "shapewear" au vigodoro

Wanawake wa Tanzania na Unyanyapaa wa "shapewear" au vigodoro

Mkumbuke kuwa wanaume huwa tunafuata vitu viwili kwa wanawake ambavyo ni;
1.Tabia
2.Qummer
 
Mi mwenyewe shape wear nikivaa si nitaharibu!
 
Nimependa topic hii,,tatizo linacreate fake image , ukienda kusaula kwa boyfriend tobaaaa lol
 
Nimependa topic hii,,tatizo linacreate fake image , ukienda kusaula kwa boyfriend tobaaaa lol

Na hapa ndo panapokera. Yaani maisha ya mwanamke yanarevolve around kutamaniwa na mwanaume tu?
 
Aliesema bado nipo nipo kwenye kuoa hapaswi kulaumiwa ,,mtu anapenda atamaniwe kuliko kupendwa dadeeki
 
Na hapa ndo panapokera. Yaani maisha ya mwanamke yanarevolve around kutamaniwa na mwanaume tu?

Umenifanya nifikiri lol,

Ila ukivaa ukapendeza,wanaume wakaku ‘notice’ huoni inaboost Confidence?lol
 
Jikubali wewe...Ben Pol mwenyewe amejikubali kwamba hana hela sahivi kapata sponsor anampa good time tu na mapenzi kama yotee no stress. Sasa we vimba na vigodoro hivyo halafu uishie kuleta uzi mbona hupati dume la kudumu.
 
Je, unawachukuliaje wanaovaa kwa mapenzi yao?
Hapa unachanganya madesa Shem,
Kucha, Nywele, Kope, Nyusi vyote hivi vinaangukia kwenye mambo ya urembo au fashion, unaweza kuvi edit temporarily ili kujipendezesha zaidi. Lakin umbo la mtu hapo ni majaaliwa yake Mungu.

Ni rahis sana mimi kukuelewa kama asubuhi nimekuona na afro kisha jioni nikakuona na panki, nitajua tu umepita salon. Ila sasa hii ya kukuona asubuhi una hips na bambataa kisha jioni flat screen ngumu sana kukuelewa aisee. Kama sikujui fresh naweza kudhan ni ndugu yako, sio wewe.
 
Back
Top Bottom