NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
Halafu nilisahau kuandika hapo mwisho kwamba “Uzi tayari”
Sawa mkuuMimi ni “me” mkuu. Unataka kusemaje?
Kumbe na wao wapo wasiojulikanaUmeona mkuu...! Kinachoiongezea Tz ubora katika hilo,hii nchi ni kubwa sana. Ina vijiji vingi. Vijiji vingi vimebarikiwa kuwa na warembo wasiojulikama
Bila picha futa uziTanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda.
Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza usiamini. Achana na hao akina wema mliowazoea,kuna wasichana warembo humu vijijini ogopa.