Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

ukimchukuwa vile utakavyokutana naye Njiani halafu ukamdumbukiza kwenye aidha swimming Pool Maji yote yanabadirika rangi kwa udongo aliojirundika usoni..
 
Unataka kutangulia mbele ya haki. Shauri yako.
 
Yan uyu dada nimempenda kweli kaolewa na kijana mwembamba kweli wanapendana haswa na bwanaake
 
Hana uzuriii wowote huyooo, tembelea pake Udsm UDBS utakutana na watoto wazuri Lulu haingiiii hata robo.
Kuna fallacy ilikuwepo tungali chuoni kuwa moja ya factor ya wao kufanya vuzuri kielemu ktk ngazi za chini ni huo uzuri wao. Yaani pengine uzuri wao uliwabeba kusoma sana kuprove watu wrong au walisaidiwa sana kufikia malengo yao ya kielimu.
Kufupi wanawake wanaofika vyuoni wanaonekana kuwa na UREMBO wa kuvutia.
 
Mzuru wa sura yes ila vingine kawaida kabisa. Halafu nimegundua wengi humu mnawaona hao warembo insta.. nimeshangaa mtu kusema kale ka Tunda nako karembo jamani, hebu siku muwaone live hao warembo wenu afu mje muendelee kuwasifia humu zile instagram pictures zisiwadanganyie ni sababu tu wanatumia simu nzuri.
 
mkuu ni kwa sababu huenda umezaliw mara, ila kama ungekuwa umeazaliwa chugga ungejionea walembo noma huyo lulu si mrembo kivile kabisa
 
Umemkubali kuanzia lini huyo Lulu? Kabla ama baada ya kuanza kutumia make up?
 
Mbwa kabisa wew kampita hatamkeo?na mama yako? Takataka kabisa ,jua ibada njema huanzia nyumbani kenge wew
 
Mkuu tunaomba ucheze kama pele tumuone kwa picha, watu tunaweza tukabadili vituo vya kula
 
Uzuri wa mwanamke ni pale wakati Hana makeup, tupia picha akiwa hajapaka makeups.
 
Mkuu tunaomba ucheze kama pele tumuone kwa picha, watu tunaweza tukabadili vituo vya kula
Wanaumeeee mlirogezewa papuchi sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtutumie picha na sie tuonepo maana bongo muvi tumewachoka na makeup zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…