Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

View attachment 613861huyu huyu ama mwingine?
kama wasemanyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai
tambieni pia hakuna msichana mbaya mbele ya pesa.
Tuangalie wengine pia View attachment 613862 huyu nae pesa zimemsaidia pia.

View attachment 613863 hawa bado wabichi kabisa, baada ya pesa sijui itakuwaje...
View attachment 613865 pesa achana nayo. Huyu hakuzaliwa na sura hii. Alikiwa hatazamiki ila after hela sasa sura ishakua hii. Ni jirani yangu home najua toka anazaliwa.

View attachment 613866 mwanaume halisi ndo huyu.
View attachment 613867
wote wanavutia..
View attachment 613868

Nitarudi ngoja niende break kwanza


Mkuu, The CIA , nenda tu break.

Ila nashukuru sana mkoa wa Tanga kuwa nchini, Tanzania maana wangu anawazidi wote hadi lulu sijui dhahabu.
 
Wewe, kusifia mwanamke m1 unayemhusudisha wewe kwenye kadamnasi ni matusi.
Ambao unaona hawakupendezi wewe, kwa wenziyo ni mamalkia na ni kituko pia kwa wenziyo kwa yule ambaye unamuona wewe ni bora.
Kuthaminisha watu kwa kuwapanga kwa sura na maumbile yao ambayo wao walistukia tu wanayo ni kumkufuru Muumba na ni dharau isiyostahili onyo wala execuse.
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya urembo na uzuri

Sasa kama Kwa kigezo cha urembo, nenda kwake asbh kabla hajaamka. Ingawa kuna makeup siku hizi za 72hrs
 
Back
Top Bottom