Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
mimi naomba umtake mama angu radhi hadi saiz sijawah sikia upuuzi juu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba mchaga mama muhaya guu la bia uchagani kho kho khoooooooUzi huu uwe aibu kwa wale wote wanaodharau watoto wa kichaga..
Lulu ni mchaga mwenye mguu wa bia
Lulu unamweka kwenye kundi ganBaba mchaga mama muhaya guu la bia uchagani kho kho khooooooo
Moja kati ya sifa ya uzuri wa mwanamke ni kimo chake (urefu)Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM, Mkoa bora ninaoupenda wa Mara ( Musoma ), chombo cha Usafiri bora ninachokipenda Baiskeli ya Phoenex, Magazeti bora ninayoyapenda ya Tanzania ya The Citizen na MWANANCHI, sehemu bora ya kupatia Mademu ya Kimboka Buguruni, Tv bora ninayoipenda ya ITV the Super Brand, Kikundi bora cha Uchekeshaji cha Mizengwe, Mbunye tamu kuliko zote nchini Tanzania za Tanga, Singida na Iringa, Bangi bora kabisa ya Blantyre, Malawi, Kilevi bora kabisa cha Konyagi, Wakili nadhifu na anayejipenda kuliko wote nchini Peter Kibatala, Rais bora kwa sasa nchini Tanzania tokea Nyerere afariki dunia Dkt. Magufuli, Gazeti bora la Michezo nchini la CHAMPIONI, Mchambuzi bora wa Mpira kwa sasa nchini Oscar Oscar, Mchangiaji bora kuliko wote JF Joseverest, Kinywaji bora baridi kuliko vyote nchini cha Fanta, Mtandao bora wa Simu kuliko wote nchini Tanzania wa Airtel, Whistle-blower bora kwa sasa duniani kote ni Mange Kimambi na njia bora ya ufanyaji mapenzi ya kavu kavu / nyama ndani nyama nje.
Huo ulikuwa ni Utangulizi tu na kama kuna mahala popote labda nimesahau basi mtanisaidia kuongezea ongezea nyama ili mradi tu hicho kitu kiwe bora kweli sawa?
Najua na nakiri kwamba ni kweli Tanzania ina Wanawake wengi wazuri ila hapa tusiwe Wanafiki, Wachoyo wa Sifa na Roho mbaya na ukweli ni kwamba huyu Binti Elizabeth Michael alias Lulu si tu kwamba ni Mzuri bali ni Mrembo hasa na mpaka sasa kila nikiangaza huku na kule nani wa kumfananisha nae kwa Urembo kwa hapa Tanzania bado sijaona.
Elizabeth Michael alias Lulu ana sifa zote Saba ( 7 ) ambazo Mwanamke yoyote yule Mrembo anatakiwa awe nazo na pia ni Mwanamke ambaye Mwanaume yoyote ukiwa nae wala hutosubiri hadi akulilie shida au akuombe Hela bali Wewe mwenyewe tu utashangaa unaingia zako mfukoni na unampa Hela.
Huyu Binti Lulu sijui Mwenyezi Mungu alimuumba Saa ngapi kwani hakukosea chochote Kwake na kamtoa vile vile ambavyo Yeye ( Mungu ) alikusudia. Mademu kama hawa sijui akina Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na Wastara nadhani waliumbwa wakati Maualana amechoka kwani kiukweli hawa mvuto kabisa Kwangu na GENTAMYCINE nikikukataa basi jua hata Mola nae amekukataa.
Hongera sana Lulu kwa kutokuwa si tu Mzuri bali Wewe ni Mrembo haswa!
Nawasilisha.
Kwahyoo hata mamako sio mzuri mkuu?Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM, Mkoa bora ninaoupenda wa Mara ( Musoma ), chombo cha Usafiri bora ninachokipenda Baiskeli ya Phoenex, Magazeti bora ninayoyapenda ya Tanzania ya The Citizen na MWANANCHI, sehemu bora ya kupatia Mademu ya Kimboka Buguruni, Tv bora ninayoipenda ya ITV the Super Brand, Kikundi bora cha Uchekeshaji cha Mizengwe, Mbunye tamu kuliko zote nchini Tanzania za Tanga, Singida na Iringa, Bangi bora kabisa ya Blantyre, Malawi, Kilevi bora kabisa cha Konyagi, Wakili nadhifu na anayejipenda kuliko wote nchini Peter Kibatala, Rais bora kwa sasa nchini Tanzania tokea Nyerere afariki dunia Dkt. Magufuli, Gazeti bora la Michezo nchini la CHAMPIONI, Mchambuzi bora wa Mpira kwa sasa nchini Oscar Oscar, Mchangiaji bora kuliko wote JF Joseverest, Kinywaji bora baridi kuliko vyote nchini cha Fanta, Mtandao bora wa Simu kuliko wote nchini Tanzania wa Airtel, Whistle-blower bora kwa sasa duniani kote ni Mange Kimambi na njia bora ya ufanyaji mapenzi ya kavu kavu / nyama ndani nyama nje.
Huo ulikuwa ni Utangulizi tu na kama kuna mahala popote labda nimesahau basi mtanisaidia kuongezea ongezea nyama ili mradi tu hicho kitu kiwe bora kweli sawa?
Najua na nakiri kwamba ni kweli Tanzania ina Wanawake wengi wazuri ila hapa tusiwe Wanafiki, Wachoyo wa Sifa na Roho mbaya na ukweli ni kwamba huyu Binti Elizabeth Michael alias Lulu si tu kwamba ni Mzuri bali ni Mrembo hasa na mpaka sasa kila nikiangaza huku na kule nani wa kumfananisha nae kwa Urembo kwa hapa Tanzania bado sijaona.
Elizabeth Michael alias Lulu ana sifa zote Saba ( 7 ) ambazo Mwanamke yoyote yule Mrembo anatakiwa awe nazo na pia ni Mwanamke ambaye Mwanaume yoyote ukiwa nae wala hutosubiri hadi akulilie shida au akuombe Hela bali Wewe mwenyewe tu utashangaa unaingia zako mfukoni na unampa Hela.
Huyu Binti Lulu sijui Mwenyezi Mungu alimuumba Saa ngapi kwani hakukosea chochote Kwake na kamtoa vile vile ambavyo Yeye ( Mungu ) alikusudia. Mademu kama hawa sijui akina Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na Wastara nadhani waliumbwa wakati Maualana amechoka kwani kiukweli hawa mvuto kabisa Kwangu na GENTAMYCINE nikikukataa basi jua hata Mola nae amekukataa.
Hongera sana Lulu kwa kutokuwa si tu Mzuri bali Wewe ni Mrembo haswa!
Nawasilisha.
Kwa iyo alilipwa overtime yakeWahenga wanakwambia "Mungu alifanya na overtime" kuwaumba mabinti kama hao
Ila mimi mbona thimjui[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM, Mkoa bora ninaoupenda wa Mara ( Musoma ), chombo cha Usafiri bora ninachokipenda Baiskeli ya Phoenex, Magazeti bora ninayoyapenda ya Tanzania ya The Citizen na MWANANCHI, sehemu bora ya kupatia Mademu ya Kimboka Buguruni, Tv bora ninayoipenda ya ITV the Super Brand, Kikundi bora cha Uchekeshaji cha Mizengwe, Mbunye tamu kuliko zote nchini Tanzania za Tanga, Singida na Iringa, Bangi bora kabisa ya Blantyre, Malawi, Kilevi bora kabisa cha Konyagi, Wakili nadhifu na anayejipenda kuliko wote nchini Peter Kibatala, Rais bora kwa sasa nchini Tanzania tokea Nyerere afariki dunia Dkt. Magufuli, Gazeti bora la Michezo nchini la CHAMPIONI, Mchambuzi bora wa Mpira kwa sasa nchini Oscar Oscar, Mchangiaji bora kuliko wote JF Joseverest, Kinywaji bora baridi kuliko vyote nchini cha Fanta, Mtandao bora wa Simu kuliko wote nchini Tanzania wa Airtel, Whistle-blower bora kwa sasa duniani kote ni Mange Kimambi na njia bora ya ufanyaji mapenzi ya kavu kavu / nyama ndani nyama nje.