neema niwagila
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 232
- 137
[emoji133]Tatizo hujawahi kumuona Mama Gaude wangu.
[emoji12][emoji133]
Mkuu mbona shape anayo au unamaanisha chura ndo shapeTutaambiwa wivu lkn sura anayo nzuri ya kawaida ila chini kavutwa ni shapeless
Mkuu hivi pale UDBS huwa wanaangaliaga sura nini mana wote wazuri. .
Nendaa Coet huko ukakutane na wadada wenye sura chungu
Angalia kati ya tumbo na hips ndo utajua kwanini nimesema hana shape mf vanesa mdee hana chura lkn ana umboMkuu mbona shape anayo au unamaanisha chura ndo shape
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukimchukuwa vile utakavyokutana naye Njiani halafu ukamdumbukiza kwenye aidha swimming Pool Maji yote yanabadirika rangi kwa udongo aliojirundika usoni..
yaan wewe ndo hujui wanawake wazuri kabisaaaaaNadhani Ungesema kwa macelebrities, sio wanaeake wote, ila kuna kina meninah, naj, masogange, sijui umewaona hao
Angalia kati ya tumbo na hips ndo utajua kwanini nimesema hana shape mf vanesa mdee hana chura lkn ana umbo
Umbo la mwanamke ni mkao na mikato ya nyonga yake ilivyo ndo hapo tunaanza kusema fulani ana shape
yaan wewe ndo hujui wanawake wazuri kabisaaaaa
Yap na ukimtizama lulu ni km kiuno na hips Vipo sambamba usione kujibinua tu, sasa kuna ambae akisimama mguu sawa hips zinazidi mabega hapo ndo utasema Mungu fundiproportional ya tumbo na kiuno imepishana kidogo sana (kwa lulu)!au niseme kutoka tumbon had kwenye hips pamepishana kias sana !wengne tumbo unakuta 34 lakini hips 47!hapo huyu tunamwita mikato anayo!hata unenepejee huwa hailingan ht siku 1! au angalia bega lako fananisha na hips!must bega liwe dogo than hips! nimeyaonaga hayo kwa mafundi mwe ! mtu mwenye hips ana vipimo ving zaid katika kumpima !mwee !nimemsaidia kumwelewesha yule pale alosema anabisha !
Yap na ukimtizama lulu ni km kiuno na hips Vipo sambamba usione kujibinua tu, sasa kuna ambae akisimama mguu sawa hips zinazidi mabega hapo ndo utasema Mungu fundi
AhhhahahYap na ukimtizama lulu ni km kiuno na hips Vipo sambamba usione kujibinua tu, sasa kuna ambae akisimama mguu sawa hips zinazidi mabega hapo ndo utasema Mungu fundi
unamfahamu menina mkuu?