Daaaah [emoji12]Angel of death. Is death beutiful?
Ahah watu mnadhambiiKwa kifupi hao wote wawili siwakubali nawaona wa kawaida tu,Lulu ni mamekap tu ila anakengeza kama la Mbowe
Hio kitu haina baunsa, afu wanawake wengi wanawasakama wanaume kupenda sana papuchi, wakati na wao wanafurahia kale kamchezo hakana mjanjaWanaumeeee mlirogezewa papuchi sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtutumie picha na sie tuonepo maana bongo muvi tumewachoka na makeup zao
Kamchezo kadhuri kaleHio kitu haina baunsa, afu wanawake wengi wanawasakama wanaume kupenda sana papuchi, wakati na wao wanafurahia kale kamchezo hakana mjanja
Kweli. Angeongelea tu kwa upande wake baasii [emoji23] [emoji23]Madam boss umesema ukweli. Uzuri au urembo upo machoni pa muhusika.
Kweli. Angeongelea tu kwa upande wake baasii [emoji23] [emoji23]Madam boss umesema ukweli. Uzuri au urembo upo machoni pa muhusika.
Kweli sura tu mashaalah.Tutaambiwa wivu lkn sura anayo nzuri ya kawaida ila chini kavutwa ni shapeless
Watoto wa Kondoa. Tupo ok. Huyo Lulu haingii hata kidogoKinachomchanganya mleta uzi ni urembo unaoletwa na vipodozi tembelea singida, manyara, kondoa ujionee mambo kuna wasichana wana uzuri wa asili hata vipodozi haitaji ye mzuri tu haswa wale weusi
Kapenda yeye anataka kutuletea na sisi tupende ..... Kama ingekua ni mm nichague ningeangukia kwa sinta WA JUMA nature.Kweli. Angeongelea tu kwa upande wake baasii [emoji23] [emoji23]
Mm cjakutia machoni... Tupia PICHA inboxo.Kweli sura tu mashaalah.
Ila chini me nimemzidi mara 8[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swadakta chini Hamna kitu mijibinuo tu ile hata sura nayo ni ya kujiangalizia kwenye kioo lkn sio ile ya kushtua watuKweli sura tu mashaalah.
Ila chini me nimemzidi mara 8[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BoraKapenda yeye anataka kutuletea na sisi tupende ..... Kama ingekua ni mm nichague ningeangukia kwa sinta WA JUMA nature.
Nguo za Lulu kuanzia kiunoni kwenda chini. Kwangu me haziingii, atasubiri sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm cjakutia machoni... Tupia PICHA inboxo.
Makeup na vigodoro vya kuongeza Shep ndo zinawasitiri [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Swadakta chini Hamna kitu mijibinuo tu ile hata sura nayo ni ya kujiangalizia kwenye kioo lkn sio ile ya kushtua watu