Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

My waifu wangu ndio maana niliamua kujimilikisha kwake maana woote wameshindwa kabla hawajaingia kwenye mashindano.

"Leba" anapajua!

Yaani sijui nikwambieni nini.

Kwa swala la lulu ni kuwa hana uzuri wowote! Nungayembe tu!

Wanawake wazuri wazuri wameolewa! Yamebaki manungayembe yanahangaika.
 
Mzuriii mi mwenyewe mwenyewe nina mkubali
 
yaan GENTAMYCINE nimeishia kucheka jaman !yaan wewe !khaa umeorodhesha orodha ndefuuuuuuuuuuuuu hahahha !uwi, ila hujamtaja mbunge best kwako

Upendo Peneza wa CHADEMA. Huyu naweza hata kuchukua Mkopo Benki wa Tsh 500 Milioni halafu yote nikamkabidhi Yeye na Mimi nisibaki na chochote ila Benki wakija kunidai na nikiwa sina cha kuwalipa basi wanipige ' mnada ' Mimi mwenyewe.
 

Umeona ' Chuma ' hicho? GENTAMYCINE huwa sikosei na sibahatishi. Jamani semeni maneno yote ila ukweli utabaki pale pale kuwa Lulu ni Mrembo hasa halafu nimekuja kugundua tena kwamba She's also very Photogenic.
 
Kidemu chenyewe kifupii hapo tayari hana kigezo cha kuitwa mrembo
 
Huo urembo Kwa mwezi anatumia zaidi ya Milioni 10 Kwa ajili Nguo Na Saloon. Na wewe wekeza Kwa mke wako atakuwa mzuri zaidi ya Lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…