Wanawake wa Uswahilini wana Makalio Makubwa Sana

Jamaa una Id nyingi wewe ndo maana huwa nasema Jf members hawazidi 500
 

hahahah...mkuu ulishawona wazazi wa hao wa ushuani... kwi.kwi.kwi... sio kwamba natukana wazazi wa watu ila kusema ukweli uzuri au ubaya wa umbo tunarithi kwa wazazi...sasa ..huko masaki wengi wao ni washua waliopiga buku yaani wakurugenzi na mawaziri....zamani bwana kulikua hamna demu msongo mzuri au handsome akawa msongo....wasongo walikua wabaya haswa....akiwa mzuri sura basi miguu inamatege, yaani unaweza jiuliza hivi baba alimpendea nini mama au unajiuliza mama alimpendea nini baba..hawana mvuto. ...... uswahilini ni mafailure ila wazazi wao ni wakali..unaweza pita uaswazi ukapishana na mama wa makamo mpaka ukajiuliza alivyokua kjana alikuaje. Ila kwa sasa wajukuu ndio wanakimbiza ushuani.....kwa hiyo tuwape miaka mingine kumi watakua washaiva, kwa sasa viache vichezeane vyenyewe kwanza..
 
Jamas uns Id nyingi wewe ndo maana huwa nasema Jf members hawazidi 500

Umeandika kimahaba kweli..:becky: yaani nimeibadilisha ikama kama unaongea..kama unabisha ebu soma kama ulivyoandika.
 
Mmh me wa uswazi lakini hivo sijabalikiwa naomba nianze kujibidiisha
 

duh!! sijawahi sikia hii mambo
 
Umeandika kimahaba kweli..:becky: yaani nimeibadilisha ikama kama unaongea..kama unabisha ebu soma kama ulivyoandika.

ha ha ha chezea sikirini tachi unaeza tukana bila kujua ha ha ha
 


Fanya tena uchunguzi utuletee hapa kuhusu wanaume wa maeneo haya ya 'uzunguni' na uswahilini,ni wapi wana minyamanyama na kwa nini.
 
Wa uswazi hawatesi bongo zao na mastress kama ya kusoma masters, kuanzisha kampuni, kupiga diet awe model, n.k. Wao wakigonga menu anawaza kigodoro kiko wapi leo ama mume/hawara atarudi saa ngap agegedwe.
 

Umetisha mkuu
 

Tuwekee Tupicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…