Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Ushuani utayaonea wapi wakati kutwa wapo wanadrive?
Pamoja na hayo mandingo makubwa hata mapenzi wanayajua kuliko watoto wa kishua.
Sasa kama ukivaa dira linakuwa limeshikwa namna ile ikiota zaidi ya pale si itakuwa balaa
Uwiiiii usitake nicheke mie.Yani nilivyokimbau mbau ni balaa.Yani kiukweli nina mfano wa ..ko
Ww ulitaka liwe kubwa kama nyumba ndio uone una mzigo wa haja?
miss chagga uswazi ni fashion
siku zote kuku wa kizungu hana ladha,...lakini kuku wa kiswahili mpaka manyoya matamu...
Uswazi kutamu jamani
Haya asante kama umeona nina la haja mie najiona slim