Wanawake wa uswazi na wanawake wa ushuani wape wanajua kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi mkubwa?

Wanawake wa uswazi na wanawake wa ushuani wape wanajua kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi mkubwa?

1. Kwenye kulienzi penzi... Waushuani wanaenzi penzi kistarabu sana... Wa uswazi hawana huruma...


2. Kwenye kuchepuka mademu wa uswazi wanaongoza... Wakishua ni wakulilia...

3. Kwenye tendo la ndoa ni vile wewe mwanaume utakavyomkuna huyo mwanamke... Hiyo hainaga uswazi wala ushuani...

Kwenye usafi.. Uswazi ni wachafu... Mapenzi ya kisasa hiyo ni vile amefundishwaje...
Vizuri sana mkuu nimeilewa sana post yako
 
Wa kishua wa kishua tu na wa uswazi wa uswazi tu....inategemeana muda mwingine
 
Kwaresima hii watu mnajadili ufuska mungu zima mitandao mpaka kwaresima ipite
 
Mkuu kama mwendo huu tutaenda nao mpaka baada ya Easter shule zifunguliwe tutakoma.
 
Why.. Lete facts
Mkaa bure co swa na mtembea bure

Hawa wa get kali 24hours
Yuko ndan na laptop
Akitoka yuko na prado
Walichojaaliwa tu n.uzur
Ila ila uwanjan hata n 4444 bora hata gogo
Hua linachezeshwa na upepo

Wa uswaz mahabat wanayajua
Bana co mchezo af wamefundwa
Wakafundika wawapo uwanjan
Wako vizur sana
 
Mkaa bure co swa na mtembea bure

Hawa wa get kali 24hours
Yuko ndan na laptop
Akitoka yuko na prado
Walichojaaliwa tu n.uzur
Ila ila uwanjan hata n 4444 bora hata gogo
Hua linachezeshwa na upepo

Wa uswaz mahabat wanayajua
Bana co mchezo af wamefundwa
Wakafundika wawapo uwanjan
Wako vizur sana
Hapo umeongea ki utu uzima mkuu nimekubali vp yule yupo upande upi
 
Back
Top Bottom