Haahaaaaaa wa uswazi hua tupo kikazi zaidi
Unsupported format
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuwa na adabu
Maza fanta
yule n wa huku kwetu bhanaHapo umeongea ki utu uzima mkuu nimekubali vp yule yupo upande upi
Haaahaaaa mbona umekimbilia kuomba shooNaweza kupata shoo yako hata moja binti
Usikose kuniita kwenye ubwabwa BTW nitakua no 1 fan wa couple yenuhaa haa taratibu tu jombaa
C unaojua ndo kwanza asubuh
Nione tu mkuu kama yaliyomo yamo nisiuziwe samaki wa kuviaHaaahaaaa mbona umekimbilia kuomba shoo
Walaaa hutakosa mkuuUsikose kuniita kwenye ubwabwa BTW nitakua no 1 fan wa couple yenu
Yaah nitafurahi, best man akiwa Saint Ivuga na Nikiwa na J pembeniWalaaa hutakosa mkuu
Tena card ya kwanza tu
Itakua kwako uongozane na
Yule alikukadhi jimbo
Haahaaaaaa wa uswazi hua tupo kikazi zaidi
Kabsaaa na unajua tenaYaah nitafurahi, best man akiwa Saint Ivuga na Nikiwa na J pembeni
Daaah mm ndio sina soulmate humu kila nikifata kitu natoka puma au adidas badala ya kappaKabsaaa na unajua tena
Bla saint ivuga ukumbi
Utapooza
Aaaah!!!, yan j na uliemuombaDaaah mm ndio sina soulmate humu kila nikifata kitu natoka puma au adidas badala ya kappa
Sijakuelewa vzr mkuu nielezee kwa ufasahaAaaah!!!, yan j na uliemuomba
Jimbo wote wamepta tena kushoto
Ama af 3d c alikua ameshamaliza
Sasa cjui ulishindwaje kumeza
Mzeee mwenzang
Imekuaje candy akachomoaSijakuelewa vzr mkuu nielezee kwa ufasaha
Candy nipo nae vzr sana nashukuru kwa hilo nimempenda bureImekuaje candy akachomoa
Tena aiseee na alikua ashaivaa
Haahaaa kweli etSema kweli aisee!
hivi kukatika ndio kujua mapenziWakatike wamekuwa umeme