SumadaVinci
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 161
- 328
mmhHujui sahivi wameshapata gundi za kuyaunga hata yakivunjika..๐
๐ ๐ ๐Walie wanapungukiwa nini wakati kuna foleni ya watia nia wanasubiri ridhaa ya kuchukua jimbo.
Tuendelee kutafuta pesa tu.
Let's meet at the top, Cheers ๐ฅ
Mpenzi waguna Nini..?
๐๐Mambo ya kuumizana yalikua yakitoto sana, yani mwanamke akulilie wakati wanaume wapo wengi wanaojua kujali, ukikitupa mwenzako anakisubiri kiwe pendending
Nakazia ๐๐Tuna mambo mengi sana ya msingi ya kutuliza
Imagine;
Manchester inilize
Nikichana mkeka nilie
Barcelona inilize
Bado matatizo ya kifamilia yanilize
Hadi mwanaume akiniacha nae nilie?hell no aseee!!siku hizi tunalizwa na mambo ya msingi tu
Et nilie Mimi uyoo ๐ ๐ nefaa๐ ๐Mpenzi waguna Nini..?
Ha ha! Kuna sehemu.. he he! Wacha niishie hapo..Et nilie Mimi uyoo ๐ ๐ nefaa๐ ๐