Wanawake wa zama hizi hawalii mahusiano yakivunjika

Wanawake wa zama hizi hawalii mahusiano yakivunjika

Walie wanapungukiwa nini wakati kuna foleni ya watia nia wanasubiri ridhaa ya kuchukua jimbo.

Tuendelee kutafuta pesa tu.


Let's meet at the top, Cheers [emoji1635]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kwanza watia nia wapo kweny zoezi la kuchukua fomu na kujaza hata kurudisha bado, sasa watetereke kwa kipi? Uwiiiiiiiiiiiiih
 
Pambana na hali yako saivi hakuna kulia 7bu ya mapenzi, wee hujui nchi ipo kweny uchumi wa kati? Tupo bizze na kutafuta Maendeleo.
 
Back
Top Bottom