Wanawake wafanyakazi wanamapenzi ya kweli!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Leo nimeamini wanawake wenye kazi wanadumu kwenye ndoa .
Hawaombi ombi helaa hovyo kwa wanaume maana mishahara inawastiri.

Wanawake wa kileo wasio na kazi ni pasua kichwaa si etiiii eeeh wanaume?

Hata mimi Demiss toka mganga anitafutie kazi akuuu nimekuwa mpole alafu nipo busy kweli mpaka nasahau kuingia Jf muda mwingi nawaza kazi mapenzi yanawekwa mahali pakee.

Lakini ukiwa home bila kazi muda wote unawaza umtafute danga gani kwenye simu?
Akikuzingua unamtupa kule unatafuta mwingine[emoji57][emoji57]

Kama mm Demiss leo nimesema uongo wanaume naombeni mnichambeee.

Kwa maisha ya leooo weeeh upate bwana akuoe huna kazi eeeeh[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]kwenye 100 unapata wanaume wawili tu.

Yani mwanaume akikutongoza akakuuliza unafanya kazi gani?
Ukimwaambia sina kazi weeeeeh anakukimbia hata simu hakupigiii tena mxeeeeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Mapenzi ya sasa siyo kama ya enzi za mababu zetu watu wanapenda mteremko kuliko mlimaaaa.

Hitimisho:

Hata mimi nilikuwa sitaki kutongozwa na wanaume wasio na kazi wanaokaa kwao tu kwa wazazi au waliopo chuoni nimsubiri mpaka amalize chuo agrrrr ndo ukute daktari anasoma miaka 7 sijui ndo yupo mwaka wa pili mxeeew siweziii nakukataa tu mm mambo ya uchumba sugu akuuuu mxeeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Duh.. Kabla ya kuwa kazi hukuwa na mapenzi ya kweli kwa mshirikina mkuu Wa jf
 
Hapana sijakubaliana nawewe kabisaa Tena Hapana kabisaa
 
Leo nimeamini wanawake wenye kazi wanadumu kwenye ndoa .
Hawaombi ombi helaa hovyo kwa wanaume maana mishahara inawastiri.

Wanawake wa kileo wasio na kazi ni pasua kichwaa si etiiii eeeh wanaume?

Hata mimi Demiss toka mganga anitafutie kazi akuuu nimekuwa mpole alafu nipo busy kweli mpaka nasahau kuingia Jf muda mwingi nawaza kazi mapenzi yanawekwa mahali pakee.

Lakini ukiwa home bila kazi muda wote unawaza umtafute danga gani kwenye simu?
Akikuzingua unamtupa kule unatafuta mwingine[emoji57][emoji57]

Kama mm Demiss leo nimesema uongo wanaume naombeni mnichambeee.

Kwa maisha ya leooo weeeh upate bwana akuoe huna kazi eeeeh[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]kwenye 100 unapata wanaume wawili tu.

Yani mwanaume akikutongoza akakuuliza unafanya kazi gani?
Ukimwaambia sina kazi weeeeeh anakukimbia hata simu hakupigiii tena mxeeeeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Mapenzi ya sasa siyo kama ya enzi za mababu zetu watu wanapenda mteremko kuliko mlimaaaa.

Hitimisho:

Hata mimi nilikuwa sitaki kutongozwa na wanaume wasio na kazi wanaokaa kwao tu kwa wazazi au waliopo chuoni nimsubiri mpaka amalize chuo agrrrr ndo ukute daktari anasoma miaka 7 sijui ndo yupo mwaka wa pili mxeeew siweziii nakukataa tu mm mambo ya uchumba sugu akuuuu mxeeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hakuna mwanamke wa ovyo katika ndoa kama mtumishi.
 
Back
Top Bottom