Wanawake wagogo

Wanawake wagogo

Imebidi nije kusoma kwanza sifa ila nilichoambulia nakosa kabisa nikae upande gani, ila kuna aliyesema Mtu na Mtu kanipa imani iliyoanza kubomoka, acha nijionee mwenyewe ila nimeshajua baadhi ya tabia so nitakuwa makini nazo
If the answer is not clear YES then the answer is NO.
 
Nilikuwa nae Merry ,,Kwa kweli alikuwa na **** nzuri sana akanifundisha kugegedana kila siku,,, kwa vile alikuwa fundi,,,sana Upungufu wa nguvu nilikuwa nausikia tu watu,,,akanifanya nizoee sana kugegedana kila siku,,na alikuwa chanzo cha mimi kununua Madada poa,,coz nilikuwa conditioned,, ila sura ni wazuri sana,,ila siwajui tens zaidi maana sample ya mmoja haiwezi kuja na conclusion
Hicho chanzo cha wewe kuingia huko kununua madada poa ilikua sababu ni yeye kivipi mkuu, hayo mambo ni tabia ya mtu
 
Kweli Wagogo wachafu mnooo, Mzee wetu kipindi yupo kijana alikuwa na Nyumba kajenga lakini tulikuwa atuishi kwenye Nyumba hiyo, sasa Kaka yetu mtoto wa Baba mkubwa yeye akaenda kuishi na Mke wake, huyo mke wake ni Mgogo yani Nyumba ilikuwa chafu kuanzia ndani mpaka nje mitoto yake inajisahidia ajakubwa hovyo nje na Mama yao afanyi usafi, yani mpaka Majirani wakasema hii Nyumba mwenyewe nani.
To be honest,wagogo wana sifa ya uchafu sana na uvivu hasa ktk maswala ya shule na maendeleo mengine,ndo sifa zao kuu.
 
Back
Top Bottom