Wanawake wagogo

Wanawake wagogo

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
320
Reaction score
215
Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Waongo, hasira, wezi wa vitu vidogovidogo kama vijihela kwenye suruali!! Wanajua kusachi!! Msinipige mawe kuna ndoa nimesimamia na tabia ndiyo hii inabidi mume afiche pochi akiisharudi!! Na kwa wengine nilishasimuliwa!!! Na wengine tulikaa nao kama mabinti wa kazi, ni wezi wa vitu vidogovidogo sana!!! Nyama kilo moja utakuta nusu!!! Ni kwa wengi wao!! Ukweli hurekebisha na wenye kusoma hapa wajue wengi wao ndivyo walivyo!!!
 
wagogo asili yao nyama kaka
 
is it logically true to conclude kuwa hawafai????

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Tabia zinazotokana na makabila zilikuwepo miaka ya nyuma, na hii ilitokana na kutokuwa na muingiliano kati ya tamaduni moja na nyingine na ukosefu wa elimu na 'exposure' kwenye dunia hii tunayoishi.

Kwa sasa sidhani kama tabia za kikabila ni kitu cha kukiangalia sana kwenye mahusiano. Cha msingi focus kwenye tabia zake binafsi. Kama ni mwanamke anayejiheshimu, mchapa kazi, hana tamaa, mwaminifu, anajitambua, ana upendo na pia anajua wajibu wake na anaweza kujishughulisha kwa mambo mbalimbali na mawazo yake ni mapana, sidhani kama suala la kabila lake linahusika sana, utapoteza bahati bure!

Kila la kheri,
HP
 
Back
Top Bottom