Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni.



Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu mtindo wa kamera za siri kufichwa kwenye matundu ya soketi za umeme na ndipo alipoamua kuangilia sehemu walipokuwa na kukuta kuna camera hizo mbili zimefichwa zikiwa zinaelekea upande wa bafuni kipindi chote ambacho walikuwa hapo.

Nyumba hiyo imeondolewa kwenye orodha ya nyumba za Airbnb pamoja na mmiliki wa nyumba hiyo kusimamishwa na Airbnb huku polisi wakiendelea na uchunguzi.
 
Mmiliki itakuwa anauza hizo video kwenye site za pornography anapata mapesa ya bure
 
Back
Top Bottom