Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hao akina mama wakitoka "leba" wakaongea na waume zao na ndugu zao waikatae CCM zaidi ya kifo kwenye sanduku la kura na kwa namna yeyote ile.
Otherwise hatutaki watulalamikie hapa ni matatizo ya kujitakia.
Otherwise hatutaki watulalamikie hapa ni matatizo ya kujitakia.