Jamani mimi napenda sana wanawake wajawazito infact nikimwona tu anatokea naenda mnara naweza kupanda daladala naye na nishuke mpaka afike na mimi nageuza tena. hata ofisini nikimwona mdada anadalili za kupata mimba au ana mimba nakuwa naye karibu hata chai namwandalia sema wengi huwa mimba zao hazinipendi.
Ni ugonjwa au ni nini? napenda kweli wajawazito nitaachaje hii tabia?
hata ofisini nikimwona mdada anadalili za kupata mimba
Hahahahahahahaa.jamani makubwa.na wewe unafurahia mateso?mi mwenyewe huwa napenda kweli kuwaona wanawake wakiwa wajawazito,nikiwaona nafurahi mno huku nikiwaza siku yake ikifika atavyohangaika
Zinapandikizwa hizo siku hizi.... we tangza tenda tuuu...utaalamu upo!!!
Jamani mimi napenda sana wanawake wajawazito infact nikimwona tu anatokea naenda mnara naweza kupanda daladala naye na nishuke mpaka afike na mimi nageuza tena. hata ofisini nikimwona mdada anadalili za kupata mimba au ana mimba nakuwa naye karibu hata chai namwandalia sema wengi huwa mimba zao hazinipendi.
Ni ugonjwa au ni nini? napenda kweli wajawazito nitaachaje hii tabia?
nafurahia mateso yao sana lakini sijui kwanini huwanikimwona mjamzito kwanza navuta picha mkunga anasema puhiiiiiiiiiiiiiiiiiii, basi moyo wangu husuuzika mno!Hahahahahahahaa.jamani makubwa.na wewe unafurahia mateso?
Kweli tumeubwa tofauti.nafurahia mateso yao sana lakini sijui kwanini huwanikimwona mjamzito kwanza navuta picha mkunga anasema puhiiiiiiiiiiiiiiiiiii, basi moyo wangu husuuzika mno!
Jamani mimi napenda sana wanawake wajawazito infact nikimwona tu anatokea naenda mnara naweza kupanda daladala naye na nishuke mpaka afike na mimi nageuza tena. hata ofisini nikimwona mdada anadalili za kupata mimba au ana mimba nakuwa naye karibu hata chai namwandalia sema wengi huwa mimba zao hazinipendi.
Ni ugonjwa au ni nini? napenda kweli wajawazito nitaachaje hii tabia?
Hahaha! We lazima utakuwa mnajimu! Hapo kwenye bold umenimaliza kabisa!
Umeoa?
Something must be wrong somewhere, nadhani huna kazi ya kufanya, unawezaje kupanda daladala na mtu na kumfuata nyuma nyuma kama mkia eti kisa umeipenda mimba yake na wewe si utafute mpenzi wako umjaze mimba uwe unamtumbulia macho 24/7.,halafu unaposema eti hata ofisini ukiona mdada ana dalili ya kupata mimba..huwa unajuaje mtu mwenye dalili ya kupata mimba, au unakula chabo mazee?..,lol si ajabu ndio maana mimba zao hazikupendi.
Kweli tumeubwa tofauti.
Afu nimewahi sikia kuwa kuna wanaume wanapenda kusex na wajawazito.eti ni kweli?
Sina kazi ya kufanya? ur very rude, nimekwambia nisaidie niepuke hili tatizo la kupenda wajawazito wa wtu wewe unanitusi. Mida ya kuwafata ni wakati wakutoka job jioni au wk end nakaaga Agha khan hospital natabasamu naungaga nafoleni sometimes pale chini upande wa clinic