Wanawake wajihadhari na kuumia na kuuawa

Wanawake wajihadhari na kuumia na kuuawa

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habarini wakuu, Naandika uzi huu nikiwa nina experience ya kutosha kuhusiana na mahusiano na hadi kufikia kutoa onyo kwa wanawake zaidi ili kuwaepusha na vifo na madonda(ngeu) yasiyo na msingi.

Japokuwa wanaume hu-cheat kwenye mahusiano ila isikufanye na wewe mwanamke uka-cheat, kaa utulie na umvumilie mumeo au ukiona vipi jaribu kumuambia aache tabia yake, kama huwezi basi ni heri tu muachane kwa usalama uendelee na maisha yako me huwa sipendi muumie miili yenu mjue.

Siongei hayo kutetea wanaume kwenye usaliti kwa kuwa mimi ni mwanaume lah, Nasema hivyo kwa sababu gani? Mwanaume anaumia mara 3 ya mwanamke pindi anapogundua mkewe au mpenzi anamcheat ni tofauti karibu na mara 3 ya maumivu ya mwanamke agunduapo mwanaume anacheat.

Unajua ni kwa sababu gani? Kwa sababu mwanaume huwekeza muda,pesa na mapenzi kwa mwanamke ila mwanamke huwekeza muda tu tena wakati mwingine bila hata mapenzi ya kweli so, mwanaume anapogundua mwanamke kam-cheat ananza kupiga hesabu vitu alivyowekeza kwako na bado umemuona si kitu jambo ambalo humpelekea kupata hasira za ajabu na kama hana hekima basi humpelekea kufanya maamuzi ya ajabu.

Mfano mzuri jaribu kuchunguza kwa wale wanawake ambao wamejikwamua kiuchumi then wakaamua kuchukua kijana asie na maisha na kuamua kumlea wale wanapogundua kijana (mwanaume) sio muaminifu na maybe anachepuka wanakuwa na hasira sana na ndo maana wale hawanaga cha msamaha akigundua tu anakutimua.

Hii ni kwa kuwa wamewekeza kwa kijana zaidi ya Muda maana wameweka Pesa na pia Mapenzi so, ukizingua kidogo tu hawaoni hasara kukudrop, Nadhani hii ni kwa kuwa tu wanashindwa tu kutupiga ila wangeweza basi tungetolewa sana manundu, Ila hawahawa wanawake kwanini wakiwa chini ya himaya ya mwanaume hata wagundue umecheat mbona huvumilia?

Na hapa ndo ile sababu ya ni kwanini Mwanamke akifumania ndoa inaishi na Mwanaume akifumania ndoa inaisha... (Jibu ni kwamba, Mwanamke hafurukuti kwa kuwa hajawekeza pesa zake so, haimuumi sana kiasi cha kumfanya aachane na mumewe)

Ogopa sana mtu umpe Muda,Upendo na Pesa alafu azingue inauma kichizi kuliko yule aliekupa Muda pekee labda kajitahidi sana na upendo. Hela inauma zaidi maana upatikanaji wake nadhani mnaelewa.

So, Ladies usiwahi shindana na Mwanaume kama anachepuka na wewe uchepuke ilihali unatumia pesa yake kuji-care kama ukishindwa kuvumilia ni heri tu umuambie muachane kwa usalama ukatafute mtulivu.

Mwisho ni kwamba kuna wimbo wangu mpya unaitwa #WENGE nimeuachia leo YouTube ndani nimemsisitiza Huyu mwanamke aache mawenge ili aepuke kuumia au hata kufa, so naombeni mkautizame tafadhali👇

Hello, Habari
Naitwa Lascoo, leo tuna wimbo mpya tulioshirikiana mimi,Caravan na Nyapi Flavour ambao tumeuachia Youtube ni Lyrics video unaitwa #Wenge
🎹Produced by Bee Muziki
🎥Directed by Chaz Rey
Tafadhali nakuomba uchukue Dakika zako tatu kuutizama, Usisahau Ku-subscribe,Ku-like na Ku-comment, Pia ikukupendeza zaidi tafadhali share na wenzako vyovyote ambavyo itawezesha kupata watazamaji wengi.
Ahsate sana🙏, Mungu awabariki.👇

 
Back
Top Bottom