Wanawake wakichagga ndio wanawake warembo zaidi kuwahi kuwashuhudia Tanzania

Hahaaa. Hakuna kitu Mangi nimejikuta nawafikiria wanawake wa Kichaga ninaowafahamu basi ghafla tu nikajikuta naguna lol.

Ila we ni mchokozi aiseeee. Hahaaaaa.
Hahahaha
Hao unao wafahamu sitaki hata kukuliza wakojee...
 
Huyo aloshika kiuno kidogo angefanana na yule alopigwa risasi pale biafra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…