Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini tenaMmh.
Hahaaa. Hakuna kitu Mangi nimejikuta nawafikiria wanawake wa Kichaga ninaowafahamu basi ghafla tu nikajikuta naguna lol.Nini tena
HahahahaHahaaa. Hakuna kitu Mangi nimejikuta nawafikiria wanawake wa Kichaga ninaowafahamu basi ghafla tu nikajikuta naguna lol.
Ila we ni mchokozi aiseeee. Hahaaaaa.
Hahahaaa. Lol.Ktk wachagga mbona hao sio wazuri??
Aende usukumani, mtwara, na mara huko akajioneeeVice versa is true
tembea uone mkuu
Wengine wamejjaaliwa nn?Kwa sura na rangi sina neno.... Wamejaaliwa
Ewaaaaaa. Nimecheka kwa sauti ujue Mangi.Hahahaha
Hao unao wafahamu sitaki hata kukuliza wakojee...
Hiyo ya juu huyo wa katikati nilimtimua aliwahi kuwa shemeji yenu![]()
![]()
![]()
HONGERENI SANA NA MUMSHUKURU MUNGU KUWAPENDELEA
Mbona tunajua umeshawagegeda wote hao?Hiyo ya juu huyo wa katikati nilimtimua aliwahi kuwa shemeji yenu
Vimiguu ni kama ile bakora ya kutungulia maembeMkuu kwa sura zao nakubaliana na wewe ila kata kitovuni shuka chini ni balaa wengi ni flat screen na wamenyimwa usafiri
Miguu tuthpickMbona matege huoneshi???