agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
🙂😀 hakuna kuchelewa? sikuhizi ukipata nafasi unaitumi.....ndoa yetu mwezi wa kumi vip tukuletee kadi?.Dhuuuuu wanaume wa Jf
N mafisi kweli wakipata upenyo
Wanapenya kama mbu[emoji32][emoji32][emoji32]
Nimekumanya mkuu
Mwez wa kumi kesho tu leta kad🙂😀 hakuna kuchelewa? sikuhizi ukipata nafasi unaitumi.....ndoa yetu mwezi wa kumi vip tukuletee kadi?.
Mkuu inaonyesha unawapata sanaWa kwanza kushoto ni Maria anasoma UDSM mwaka wa 2..
wa kati ni Aika;air hostess ATCL na wa3 ni Queen,ameolewa na mSweden na makazi yao ni Nairobi
Asante...naandaa yakoMwez wa kumi kesho tu leta kad
Kabsa af mm ndo ntakua msimamiz wa
Arus
hahaha...kwahiyo Ml.50 alizotoweka nazo anazimalizia huko ?Hahaha wapo mkuu tena wa kutosha.Hata tapeli wa FOREX Ontario ni mkazi wa UKONGA
Mengineyo [emoji16][emoji16]Wengine wamejjaaliwa nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah!!We umepotea! Umepata Picha zao za siku za Harusi tu, hakuna mademu wana maumbo ya hovyo kama wachaga! Utakuta miziwa hinhaa! Tako Pasi !! Ha ha ha miguu sasa ni fito!
Mkuu naona umeunga hoja kwa ushahidi muruuuua kabisa..Naunga Hoja Mkono View attachment 793272