Wanawake wakichagga ndio wanawake warembo zaidi kuwahi kuwashuhudia Tanzania

Wanawake wakichagga ndio wanawake warembo zaidi kuwahi kuwashuhudia Tanzania

wewe Jamaa bhana''' yaelekea huko "" G.mboto mademu hkuna kabisa yaani """
Hahaha wapo mkuu tena wa kutosha.Hata tapeli wa FOREX Ontario ni mkazi wa UKONGA
 
Kila kabila lina wanawake flat
Ila wanawake wa kichaga wanajikubali namna walivyo
Hawatumii midawa sijui ua kutengeneza shape, matiti na matumbo
Wao ni pesa tu
 
hahaha...kwahiyo Ml.50 alizotoweka nazo anazimalizia huko ?
Warembo wa Gongo la mboto hawawezi kuacha salama.Wanafunzi wa KAMPALA wanatusaidia sana kupunguzia stress
 
Naunga Hoja Mkono
Screenshot_20180509-170004.jpg
 
We umepotea! Umepata Picha zao za siku za Harusi tu, hakuna mademu wana maumbo ya hovyo kama wachaga! Utakuta miziwa hinhaa! Tako Pasi !! Ha ha ha miguu sasa ni fito!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah!!
 
Back
Top Bottom