Wanawake wakichagga ndio wanawake warembo zaidi kuwahi kuwashuhudia Tanzania

Wanawake wakichagga ndio wanawake warembo zaidi kuwahi kuwashuhudia Tanzania

Hao ndyo dada zetu bhana yan
Maana hata tukioa nje ya Kilimanjaro
Bhas lazma mchepuko utoke
Kilimanjaro
 
Ila umbo kila mtu analo lake kaumbwa kivyake jamani so kama mtu anasema makabila kuna wachaga ni wazuri,kuna wasambaa kuna wambulu kuna wamangati yaani kila mtu kaumbwa kivyake.
 
Tatizo ni kwamba sijui umetumia vigezo gani. Wengi wenye mimacho mikubwa kuwa ni wezi/wadkozi. Wenye midomo mikubwa ka huyo uliyemuweka hapo huwa ni bibi huruma. Hamnyimi mtu hiyo kitu yake. Wenye midomo myembamba ni wasemaji utadhani kameza betri. Nipe kigezo ulichotumia halafu hebu jaribu kumpa weusi wa mhaya uniambie hapo mrembo ni nani. Mhaya kajaaliwa vyote.
 
True,wamejaaliwa sura sana,ila miguu na nyuma chini ya kiuno hakuna kitu.also they are not romantic
 
Kwa yale mashepu yao ya miswaki ya white dent? Au ya simba Dume! Au kwa zile shepu za makalio na miguu kama fito?
 
Back
Top Bottom