RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa.
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili gauni ni bei gani?"
"Hii skirt ni bei gani?"
"Hili sofa ni bei gani?"
"Hii TV na Subwoofer ni bei gani?"
"Haya mapazia ni bei gani?"
"Hili carpet ni bei gani?"
"Hili jiko la gesi ni bei gani?"
Wauzaji watashughulika nae kwa ukarimu wakidhani wamepata mteja wa kufungia biashara, lakini kumbe mteja mwenyewe ana shilingi elfu moja mfukoni.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili gauni ni bei gani?"
"Hii skirt ni bei gani?"
"Hili sofa ni bei gani?"
"Hii TV na Subwoofer ni bei gani?"
"Haya mapazia ni bei gani?"
"Hili carpet ni bei gani?"
"Hili jiko la gesi ni bei gani?"
Wauzaji watashughulika nae kwa ukarimu wakidhani wamepata mteja wa kufungia biashara, lakini kumbe mteja mwenyewe ana shilingi elfu moja mfukoni.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM