warombo wapole sana,kibosho wezi wanawaibia waume zao na kujenga kwao,marangu kutembea nje ya ndoa nikitu cha kawaida sana,uru washamba sana,old moshi kama wamarangu,
ha! Mi nilikua natarajia kufunga ndoa na bibie wa kimachame dec 28 niahirishe nini?
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
Acha umang'aa arifu,.maza angu ni mmachame na mshua ni mrombo na pesa ipo mböna hajamuua dingi?
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
Hii kitu ni kweli, baba mdogo alioa mmoja, daily ni bif hapo ndani, kila siku mama mkwe anaamua ugomvi,one day ugomvi ulizuka asubu, huyu mmachame alikuwa anakaanga maandazi yake akanyanyua karai zima zima akamwagia mama mkwe, bahati bibi aliweza kuikwepa hii kiasi kidogo kikamwagikia mguuni, ba mdogo kuingilia kati, mmachame akatoka na panga, ilibidi ba mdogo akimbie, mi nilikuwa nimesimama kwa mbali, ktk kufukuzana ba mdogo alipita karibu yangu mmachame naye alipita hapo akanigonga nikaanguka chini nikaumia bega, nilikuwa darasa la tano, kufika mbele ba mdogo alijikwa akaanguka huku mmachame anamfukuzia kwa spidi kaka naye alikuwa nyuma, wakati mmachame anataka kushusha panga juu ya uso wa ba mdogo pale chini kaka aliwahi na kuweka mgongo, panga likatua maeneo ya kuanzia kisogoni hadi mgongoni, bahati nzuri ni kuwa yule mama alishusha panga upande usiokata maana wakati ananyanyua panga hakuangalia ni upande upi wenye makali, hata hvyo broaliumia sana kisogoni na alipasuka japo hakupata effects ndani. Toka siku hiyo niliapa mmachame kwangu no, hata mtaani kwetu kwa lile tukio hakuna mzazi anayekubali mwanae aoe mmachame.yaani huyo mama alitengeneza image mbaya sana kwa wamachame na mpaka sasa wanawaogopa.
Hafai kuolewa huyo unaemjua we mwenyewe, pesa ndo mpango mzima.......why not wasizisake achilia mbali kuwaza tu! Btw, hivi ni nani anayeweza kujitokeza hapa atuambie kama kwao hakuna hao wanawake wenye mvuto wa kuunga unga kama ulivosema mwenyewe??? Jisachi....!!!
Atukatai kama pesa ndo mpango mzima lakini sio kuwatanguliza waume zao
kwa hili la mmarangu linaukweli ndani yake.nukta
Naawangalia tu na comment zenu against wamachame!!
Mbaya zaidi Shemeji yenu nae wa hukohuko,
Ni kabinti kadogo tu ka miaka 23 nami 31, na kananipenda kweli!
Sasa sijui katakuja kunigeuka maskini ya mungu mimi!!
Kila nkitaka kukapiga chini kisa kabila nakaonea huruma maana naona kama hakajaanza mchezo huo wa kikabila kwa sasa!!
But huko mbeleni sijui itakuaje mskini!!