Mimi ni member wa JF na ni mmachame .sijawahi kucomment chochote katika forum hii; ila kwa hili nimeona niongee.Kama nilivosema ni mmachame na wanawake wamachame ni wanawake kama wanawake wengine .Sijui kwa nini watu wanapenda kuwasema vibaya kwamba wana roho mbaya , mara wakatili , sijui wanaua waume .That is very unfair kabisaa kwasababu tupo wastaaarabu, wenye upendoo , mapenzi ya dhati kwa waume na kadhalika.so mifano michache isifanywe general .wanawake wangapi wanafanya mambo hayo jewote ni wamachache tu ?? ebu tuheshimu makabila ya watu ....ni mawazo yangu tuu.