cc;@khantwe aone hilo suala kwenye jalada kwa ufuatiliaji na kunidekeza.Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri.Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau kwamba yeye ni MKE WA MTU.
HIVI NYIE WAZAZI HASA WA KIKE HUWA MNAWAFUNDISHA WATOTO ZENU KABLA HAWAJAOLEWA? AU MRADI KAOLEWA TU!!!
View attachment 3663967
Kama uyu jamaa namuonea sana huruma
Mwanamke mpumbavu huivuja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe bali mwenye hekima huijenga ,imeandikwa Methali 14:1Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri.
Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau kwamba yeye ni MKE WA MTU.
HIVI NYIE WAZAZI HASA WA KIKE HUWA MNAWAFUNDISHA WATOTO ZENU KABLA HAWAJAOLEWA? AU MRADI KAOLEWA TU!!!
Ameingia miziki ya shishaView attachment 3663967
Kama uyu jamaa namuonea sana huruma
Uyu dada anaoesha ni umri wa 29 au 30 na kuendelea.Duuuh 22yrs anaingia ndani ya ndoa, wakati wote hawana fikra pevu za kuweza kumudu ndoa, au wanadhani ni kutomberner tuu? Lol
Ngoja makafiri wenzio waje kukupopoaHasa wanawake walioolewa ndoa za kikristo
Huwa naona wa kiislamu wana nidhamu hata wakiwa ndani ya ndoa
Ngoja makafiri wenzio waje kukupopoa
Wanatamba na ile hakuna kuachana mpaka kifoHasa wanawake walioolewa ndoa za kikristo
Huwa naona wa kiislamu wana nidhamu hata wakiwa ndani ya ndoa
Uyu dada anaoesha ni umri wa 29 au 30 na kuendelea.
Amepata dogo wa kumkamata
huyo kijana ukute ni ajira mpya, basi anaona kamaliza maisha, ila huyo mwanamke anaonekana mkubwa kwa huyo mwanaume, atamuendesha atakavyo.
Inawapa assurance na kiburiWanatamba na ile hakuna kuachana mpaka kifo
Hili bhn Kwa sasa hivi kama lipo complicated sanaMwanamke mpumbavu huivuja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe bali mwenye hekima huijenga ,imeandikwa Methali 14:1