Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

Mnataka mke afanye kazi kama punda na bado mnadai na tendo la ndoa?akikunyima ugomvi unaaanza, manaa anakua anachoka kwa mikazi uliomuachia yani ndoa isiwe ya mwanamke tu bali yenu wote kila kitu mfanye pamoja na mauroda unapewa vyema kabisa sasa mnapelekesha mke kama punda utakua sawa kweli
 
Mke wako kapata mume.
 
😆😆😆wewe hujui kupika utajua kupika kwenye ndoa hakuna ubabaifu,mnapokutana kila mmoja alikua kwenye nyumba ya wazazi wake so kila mmoja ana upishi au ladha ya aina yake so ni kufundishana tena mnapika pamoja mkiwa pamoja jikoni huwa sipendi dhana ya kuwafanya wakina mama kama punda sio nzuri sana nimekulia kwenye familia yenye upend mshua alinifundisha kitu kuzuri sana alimpenda sana mke wake
 
Ndoa yako ina miaka mingapi
 
Kama mliwachukua wakiwa sio wajeuri basi mtambue wazazi wao walifanya kazi nzuri kisha nyie mkawaharibu🤣
 
Hasa wanawake walioolewa ndoa za kikristo

Huwa naona wa kiislamu wana nidhamu hata wakiwa ndani ya ndoa
Kwenye uislamu wanawake wanajua, akizingua tu, Mwanaume ana option ya kumpa talaka haraka sana. Na kuvuta mali mpya.

Kwenye ukristo, wanaambiwa alicho unganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Yani mpaka kifo hiyo.

Jeuri ndio inaanzia hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…