Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

Kero zinazidi mpaka unajikuta unatukana kipochi cha mamkwe automatic ๐Ÿคญ
 
Kwenye uislamu wanawake wanajua, akizingua tu, Mwanaume ana option ya kumpa talaka haraka sana. Na kuvuta mali mpya.

Kwenye ukristo, wanaambiwa alicho unganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Yani mpaka kifo hiyo.

Jeuri ndio inaanzia hapa!
Kwahiyo kila siku itakuwa ni kuoa? Maana kila mwanamke akizoea anakua hivyo au hujaelewa mada mkuu๐Ÿคฃ
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, ni tabia ya wanawake wengi ndio sababu hatuwezi kuacha kuwa na mama nyingine ya pembeni kwa ajili ya moja na mbili, kutegemea mwanamke mmoja utakufa na sonona mkuu.
 
Hayo mambo sio ya kuvunja ndoa hayo ni mambo ya kukaa na kumwelekeza. Acha mihemko mkuu
Mwanamke asipobadilika basi badilika wewe - Madebe Lidai

Mimi siwezi kumtegemea mwanamke anipikie chai ,anifulie ,anipikie ,asipotimiza majukumu yake nafanya mwenyewe....Kosa ambalo litakalomfukuzisha mwanamke kwangu ni kukitembeza kitumbua nje basi ,mengine yanavumilika.
 
Kinachofanyika ili mradi kaolewa katoa mkosi nyumbani. Sema mkosi anaenda kuupeleka kwa mums uko akaangaike nao mkosi
 
Wanawake wa siku hizi wanaelewa? ukiwaelekeza wanakuja juu na ukikaa vibaya unagombezwa
 
Hii yote ni inasababishwa na ile igo ya kiume while kuna mambo unaweza fanya kuepusha gogoro..Mungu anijalie nowakuze wanangu wa kiume wakue katika misingi ya kujitegemea bila kujali kazi za kike au kiume..

Na hii inaleta shida kwenye ndoa pale me anapotaka afanyiwe kila kitu na mkewe hata lililo ndani ya iwezo wake.

Migogoro kama hii innatokea kwa watu waliokuzwa ktk mazingira tofauti na wazazi wao hasa mama zao ..mwingine amekua akiona mama yake akitoka kazini anapika haijalishi ni sa ngapi amerudi ataingia jikoni kuandaa chakula cha familia ..mwingine hakuwahi kuona mama ametoka kazini na kupika na akipika labda wkend ..watu hao 2 wakiona shida itakuwepo maana me atataka mkewe afanye kama mama yake alivokuwa akifanya ..
 
Wanawake wa siku hizi wanaelewa? ukiwaelekeza wanakuja juu na ukikaa vibaya unagombezwa
Ni kweli mkuu ,mambo ya haki sawa ,women empowerment imevuruga kila kitu na ndiyo maana wanachinjwa sana huko majumbani ,ni wanaume wachache wenye KABA ya kuvumilia "kero za kudhalilishwa".

Wenye hoja ya kataa ndoa wasikilizwe maana majumbani hali ni MBAYA ,Baba kambale Mama kambale na Baba si tena Kichwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ