Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

Unajua mwanaume kuna namna anapenda kuwa treated? Na hata akiwa anamsaidia mkewe kazi huwa kuna namna anapenda achukuliwe,mbaya zaidi wanawake wakihisi wanasaidiwa wanazoea na anaweza hata kukutuma
 
Usiwe na mke mmoja otherwise utakuwa unalalamika kila siku. Ila Una njaa Kali sana mkuu🤣

Halafu mwanaume mwenye mke kunywa chai mbona kama hairuhusiwi anyway inategemeana na kabila.
 
Bro maneno yako yanatutia dhambi "usitamani " 😀
 

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2V9nMq/
 
Ushauri wangu ni KUTAFUTA PESA.
Mwanaume ukiwa na pesa hutaona mapungufu kwa mkeo.
Lengo la kuoana ni NGONO ipatikane kwa ukaribu. Kwamba umelala ukigeuka unaikuta iwe ni mb...o ama ni mbususu.
Haya mengine kama kupika ni ziada tu. Ukiwa na pesa ajiri mpishi, kama huna pesa ndiyo haya ya kutafuta mke anayejua kupika.
 
Hasa wanawake walioolewa ndoa za kikristo

Huwa naona wa kiislamu wana nidhamu hata wakiwa ndani ya ndoa
Weweeeeeeeeer thubutuuuuuuuu, mkuu yaache kabisa hayo mwenye kujiheshimu anajiheshimu tu mkuu hakuna cha Nini Wala Nini tupo mtaaa hapa tuna zoom mambo tu, labda kidogo waarabu, mana wana njia za kukwepa vishawishi mfano wao hua ni ndani tu hamna sijui nikamsalimi shoga sijui hivi
 
Utachapiwa sana Kwa hizi akili zama hizi, yajayo yanafurahisha Iko tayari
 
Fact mkuu mi nilitaka sema hivo inshu ya kupika washa jiko mwenyewe pika, fua nguo za wote ndio maisha kosa kubwa ni kutembeza kitumbua nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…