Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia.
Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta namna ya kupiga hatua kisiasa tukae tuanze kuwaonea huruma. Nasisitiza 2025 hatapita mtu ati kwa sababu ni mwanamke. Tutapambana. Nginja ngija. Majukwaani.
Wanawake wengi wakipewa madaraka lengo lao la kwanza au adui yao wa kwanza ni mwanaume. Wanaume wa kweli wameshaona jinsi hali ilivyo hakuna fair kila sehemu kwa wanaume. Mwenye macho anaona kwa sasa wanaume wengi wanaoza jela kwa makosa ya kindoa tu.
Wanaume wananyanyapaliwa hata kwenye mikopo ya mabenki na serikali. Wanaume tuachane na huu wimbo. Tunyanyue tai zetu juu tuongoze nchi 2025, uchaguzi ujao usiwe uchaguzi wa kuoneana huruma.