Wanawake: Wale wa kula 'kipostive' mmewashindwa je, wale sisi wa kula 'kifestival ' mtatuweza?

Wanawake: Wale wa kula 'kipostive' mmewashindwa je, wale sisi wa kula 'kifestival ' mtatuweza?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Nimeulizwa et oooh unantakia nini? Nikauliza unaniona kipostive et eeeh? Mi nikamwambia mi wa kifestival na ni habari ya dunia hata pasaka na Valentine vinasubiri, akauliza tena wee si umeoa? Nikamjibu ndiomana namba umenpa uko na akli tmamu.

Wa Kifestval nshapta nae sasa asubr ufafanuz....... back soon counter move theory
 
Mada ya kingese haileweki bora nije kumnyoa huyu jamaa hapa kwenye huu uzi
IMG_20210518_192457.jpg
 
Ulindi na ulimbombo ni kama otimbi natimbilio
 
Nikajua labda nimezeeka mana nimetoka kapa
 
Back
Top Bottom