Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa vyombo mbalimbali vya habari na kuona makundi ya wanawake na walemavu wakiendeksha makongamano na semina kueleza kile kilicho ndani ya katiba inavyopendekezwa kinavyowajali na kulinda haki zao ikiwa ni baada ya jitihada walizozifanya ndani ya bunge maalum la katiba....hapa nikaja kugundua kuwa hatuna budi kuungana nao mkono kwani wote humu tuna mama au wake wa watoto wa kike na kama hiyo haitoshi huwezi jua ijua kesho na hizi ajali za kila mara unaweza ulemavu upo nje nje pia katika familia zetu watu wenye ulemavu wametuzunguka wanaohitaji kufaidi kile kilichondani ya Katiba Inayopendekezwa....Watanzania tusiwe wakatili kuangalia mambo ya kisiasa na kusahau makundi haya yaliyopigania haki hizi kwa muda mrefu leo tuje tuyapuuze hakika tutakuwa tunatenda dhambi sana.....kwa kuendelea kuwasikiliza UKAWA wanaopotosha kwa maslahi ya yao kisiasa.......