Wanawake walio faily maisga

Mwanamke akifika 26 akili ndo inaanza kutulia, ukiona kafika hapo na bado ana mambo ya kiduanzi ujue atakua kilaza maisha yake yote
 
"Abarini
Wanawake eengi hasa apa kibonfo bongo kuanzia 25 nakuendelea,wameferi au WAMECHEZEA maisha"
 
Kwani ulikuwa unakimbizwa wakati unaandika. Loh.
 
Wanawake wanabadilika mindset kulingana na umri;

🟣Miaka 14,16,18,19 - wanataka mwanaume Mzuri, Handsome au aneperform vizuri maybe kwenye Masomo, Michezo n.k

🟣Miaka 19,20,22,24,25 - Wanakua interested na Vitu [Materialistic], aina ya kazi unayofanya, Gari, pikipiki, Biashara, Nyumba nk

🟣Miaka 26,27...35 - wanataka Mtu ambaye ana Experience amejifunza vingi, anauwezo wa kucope na watu tofauti na situations tofauti kulingana na Experience aliyonayo..


Mwanamke alie kwenye 25-26th hajafeli Maisha, Ila anakua na Experience ya kutosha kwamba nani aingie naye kwenye mahusiano na Siyo rahisi kuchezewa kama unavyowachezea Girls wa age 16-22 anakua anajua janja janja zote za Playboys...

Zingatia: Usipime akili ya mwanamke kwa umri sababu Ibn Unuq kasema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…