Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao.

Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu.

Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa ukizingatia pesa hio hio itasaidia pia wadogo zake, kaka zake, ndugu zake , wazazi wake, n.k anakuwa hana cha kufanya.

Yote haya atayamudu isippkuwa kwenye mapenzi ndipo itakuwa mtihani, Na hapo ndipo yanapotokeaga haya mambo kwamba mke flani wa tajiri anatembea na mtu wa kawaida kabisa
 
Kuna verse flani aliimba Diamond kwenye fresh remix, kuwa alipokuwa hajadaka pesa walisema ana domo, sasa hao hao wanasema ana lips denda.

Pesa and fame mwisho wa matatizo
 
Ni kweli lakin isiwe excuse kwako ya kuto kutafuta mpunga. Pambana kijana
 
Back
Top Bottom